Je Azam decoder inaanza lini?

Je Azam decoder inaanza lini?

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
348
Reaction score
79
Nigependelea kujua ving'amuzi vya Bakhresa vinatoka lini
 
nilisikia vitazinduliwa siku ya idi sijui kweli.
 
Afadhali azam atakuwa mkombozi kwa wanyonge,sasa sijui wachina wa startimes watakimbilia wapi
 
Afadhali azam atakuwa mkombozi kwa wanyonge,sasa sijui wachina wa startimes watakimbilia wapi

Watu wana choice tofauti tofauti, usifikiri kuwa watu wote watahamia AZAM. Pia itategemea na mvuto wa vipindi vyake ktk hiyo tv yake
 
nashangaa sana tff wamewapa kuonyesha ligi wkt hata tv yenyewe haipo, hatujui hata ubora wake. Wasije wakawa wanarusha live mechi kwa kutumia simu
 
nashangaa sana tff wamewapa kuonyesha ligi wkt hata tv yenyewe haipo, hatujui hata ubora wake. Wasije wakawa wanarusha live mechi kwa kutumia simu

Ndio bongo hiyo ,watu tunajali pesa tu wala hatuangalii utaalam tena,ni kichekesho tff wanaingia mkataba na tv hewa hii inawezekana tz pekee, yani hii nchi kila kitu ni maajabu ya dunia
 
Mimi naona kama vile azam anachelewa kuutoa huo mzigo nimechoshwa na hawa jamaa wanaojiita zuku ambao hata local chanels za bongo wao wanaziuza.azam tunakusubiri kwa ham sana
 
Azam TV bwana matangazo mengi kumbe hata majaribio hayajafanywa bado na tayari timu zimeingia mkataba?Mhhh tusije tukaingizwa mkenge hebu tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom