Je, atakuwa ananipenda?

sasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?
Kumchunia kwnye mawasiliano coz labda ulikua mnawasiliana kabla hujamtongoza ndo mana anasema unamchunia. Ila Piga chini utapoteza mda tu
Kuna binti nilimtongoza akanichomolea nje kwa kusema tiyari ana BOY FRIEND..japo alisema ivo ila tuliendelea kuwasiliana kama kawaida coz nilikuwa na mawasiliano yake..

SASA KINACHONITATIZA...
Kila siku mimi ndie ninayeanzisha mazungumzo ya kuwasiliana,hajawai hata siku moja kuanza yeye,,

Siku moja nilimpigia simu akawa hakupokea,tangu siku hiyo nilijua kuwa amenipuuzia,labda anaona najipendekeza kwake..nikaamua kama WIKI 2 kuwa kmya bila kumjulia hali..

Siku mmoja nikakutana nae face to face,tukasalimiana baada ya hapo akaanza kulalamika...(ETI SIKU HIZI NIMEANZA KUMCHUNIA..),akaniuliza KWANINI?..nikamjibu nakuwa BUSY tu wala sijamchunia.

SWALI LANGU
Je huyo binti ana elements za kunipenda ama?,,,,,,,
 
hana element za kukupenda ila anaelement za urafiki tena wa hadi ww umtafte, labda uwe unamrecharge ndo nayeye atakua anakutafta japo lengo lako n kupata pochi manyoya. Piga chini
 
tukiwa tunaongea face to face interest zinaonekana kwa 80%..kwa ananipenda..maana hata nikiwa wapi anifata mwenyw na kuniomba kampani ya lunch au break fast ,,mpaka apo nakuwa sielewi apo kama ananipenda au la
Kampani ya lunch na bfast ili ukalipie siyo kwamba anakupenda anakufuata akijua utalipa wewe.
Hakupendi ndugu acha kujipa moyo tafuta anayekupenda
 
amekuweka wa Akiba kuwa akiachika tu huko kwingine upendo utahamia kwako so subili tu
 
mtu anaekupenda hawez kukufanya ujiulize hilo swali, anapenda attention unayompa
 
hana element za kukupenda ila anaelement za urafiki tena wa hadi ww umtafte, labda uwe unamrecharge ndo nayeye atakua anakutafta japo lengo lako n kupata pochi manyoya. Piga chini
yawezekana kweli...lakini huwa ananiambia kuwa pale anapokuwa hajajibu sms au calls zangu anakuwa yuko bize na kazi za hapo nyumbani coz anatoka kazini amechoka...anasema nosimfikilie vibaya
 
mweche alipe kwanza baadae akili itamkaa sawa . cha mjinga huliwa na mwelevu
mbona anajua tu kuwa sina hela nyingi...coz nishamwambia kuwa bado nasoma...☞☞☞SASA ATANICHUNA VIPI NDIGU
 
shobo anazo tukionana live...maana kuna wakati ananiita ofisini kwake tuzungumze
Mkiwa mubashara anakosa ujasiri wa kukwambia kuwa hakupendi. Ila ni kwamba hakupendi, tafuta usitaarabu mwingine. Au unasubiri aachike umdake?
 
Sasa mbona unalazimisha jibu sheikh? Umeuliza swali unajibiwa hutaki unalazimisha kuambiwa anakupenda.

Haya anakupenda sana, Tena sana. Huoni Huwa anakuita kampani Saa ya lunch na breakfast tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom