Je, atakuwa ananipenda?

Kuna binti nilimtongoza akanichomolea nje kwa kusema tayari ana BOY FRIEND japo alisema hivyo ila tuliendelea kuwasiliana kama kawaida coz nilikuwa na mawasiliano yake.

SASA KINACHONITATIZA.
Kila siku mimi ndie ninayeanzisha mazungumzo ya kuwasiliana, hajawai hata siku moja kuanza yeye.

Siku moja nilimpigia simu akawa hakupokea, tangu siku hiyo nilijua kuwa amenipuuzia, labda anaona najipendekeza kwake, nikaamua kama WIKI 2 kuwa kimya bila kumjulia hali.

Siku moja nikakutana nae face to face, tukasalimiana baada ya hapo akaanza kulalamika. (ETI SIKU HIZI NIMEANZA KUMCHUNIA), akaniuliza KWANINI? Nikamjibu nakuwa BUSY tu wala sijamchunia.

SWALI LANGU
Je, huyo binti ana elements za kunipenda ama?
He! Nilijua labda alikutafta yeye, Kumbe mlikutana tu!!Amakweli Mapenzi ukiziwi
 
Kuna binti nilimtongoza akanichomolea nje kwa kusema tayari ana BOY FRIEND japo alisema hivyo ila tuliendelea kuwasiliana kama kawaida coz nilikuwa na mawasiliano yake.

SASA KINACHONITATIZA.
Kila siku mimi ndie ninayeanzisha mazungumzo ya kuwasiliana, hajawai hata siku moja kuanza yeye.

Siku moja nilimpigia simu akawa hakupokea, tangu siku hiyo nilijua kuwa amenipuuzia, labda anaona najipendekeza kwake, nikaamua kama WIKI 2 kuwa kimya bila kumjulia hali.

Siku moja nikakutana nae face to face, tukasalimiana baada ya hapo akaanza kulalamika. (ETI SIKU HIZI NIMEANZA KUMCHUNIA), akaniuliza KWANINI? Nikamjibu nakuwa BUSY tu wala sijamchunia.

SWALI LANGU
Je, huyo binti ana elements za kunipenda ama?
Hupendwi wajipendekeza, na kinachofuatia ni kuanza kuchunwa mpaka ukome
 
Kuna binti nilimtongoza akanichomolea nje kwa kusema tayari ana BOY FRIEND japo alisema hivyo ila tuliendelea kuwasiliana kama kawaida coz nilikuwa na mawasiliano yake.

SASA KINACHONITATIZA.
Kila siku mimi ndie ninayeanzisha mazungumzo ya kuwasiliana, hajawai hata siku moja kuanza yeye.

Siku moja nilimpigia simu akawa hakupokea, tangu siku hiyo nilijua kuwa amenipuuzia, labda anaona najipendekeza kwake, nikaamua kama WIKI 2 kuwa kimya bila kumjulia hali.

Siku moja nikakutana nae face to face, tukasalimiana baada ya hapo akaanza kulalamika. (ETI SIKU HIZI NIMEANZA KUMCHUNIA), akaniuliza KWANINI? Nikamjibu nakuwa BUSY tu wala sijamchunia.

SWALI LANGU
Je, huyo binti ana elements za kunipenda ama?

Bro huyo hakupendi...ana mtu anayempa kiburi hicho...na atakuwa anakucheki akiwa na shida zake..otherwise anaweza kukuweka spare ili akiachika akukute kwa kasi na akudanganye alikuwa anakupima kama unampenda...da same case has happened to me last year..but nilifunga vioo although alirudi kwa kasi sana kunitafuta...but nilishaambiwa na kuthibitisha kuwa ametemwa na bwanake...so chukua time zako tu mkuu..huyo hakupendi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom