Je, Askofu Malasusa anafurahia kwa yanayoendelea nchini?

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
24,621
Reaction score
43,890
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.

Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
 
Hakuna Askofu wa hivi huyu ni msela kama masela wengine...
 
Kada wa CCM Huyu Mnyakyusa
 
Askofu Malasusa ni (PhD).
Sio kweli ni kuwa yupo kimya kwa maana Pasaka aliongea kuhusu amani ya Taifa. Tatizo huenda hakusema unachotaka kukisikia.
 
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.

Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.

Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Huyo mjinga ni kada mtiifu wa CCM na pia ni afisa kipenyo,hata ushindi wake kuwa mkuu wa KKKT dola iliweka mkono wake
 
Hakuna Askofu wa hivi huyu ni msela kama masela wengine...
Sasa kama mtu alikuwa anakunywa huenda alianzisha ugomvi wakamchapa yeye sio malaika tuache jeshi litusaidie kubaini nani kahusika
 
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.

Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.

Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).

Ndugu yake Lucas Mwashambwa ni makada wote wa CCM
Huyo alishapewa faranga unategemea akemee nini.Isitoshe ni kutoka kanda ile ya kuabudu pesa kuliko chochote mithili ya masai kwa ng'ombe
 
Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na kuitaka serikali ichukue hatua. Lakini hatujaona tamko rasmi la KKKT kukemea tukio hili la kishetani.

Kwa kuwa kanisa letu ni la Kiinjili ambalo msingi wake ni haki, tunaomba kusikia msimamo wako kama Mkuu wa Kanisa. Kwa kuzingatia kwamba KKKT ni Kanisa la pili kwa ukubwa nchini likiwa na waumini milioni 10.8 (kwa mujibu wa The Lutheran World Federation | The Lutheran World Federation), likitanguliwa na Kanisa Katoliki lenye waumini milioni 18, dunia inataka kusikia KKKT tunasimama wapi katikati ya uovu mkubwa namna hii.

Tunaamini kwamba ukiwa kama Mkuu wa Kanisa utatoa tamko kali la kukemea, kulaani na kutoa maelekezo ya nini kifanyike ili jambo hili baya lisijirudie tena katika nchi yetu. Sola Christus, Sola Scriptura, Sola Fide, Sola Gratia (Kristo tu, Neno tu, Imani tu, Neema tu).!
Mumkome
 
Pengine hafurahii ila Malasusa kasusa
 
Malasusa anatajwa kuwa ndiye afisa kipenyo aliyekuwa amejiingiza kwenye kikao cha viongozi wa dini. Mara baada ya kikao kumalizika, Malasusa anatajwa ndiye aliyewasiliana na Kayombo, ambaye anatajwa kushirikiana na Mkude, kumdhuru Fr. Kitima, baada ya kupewa hoahead na Bashumgwa.

Kwa hiyo tufahamu kuwa Bashungwa ni kati ya mashetani yanayonyonya damu za watanzania wasio na hatia.
 
Malasusa anatajwa kuwa ndiye afisa kipenyo aliyekuwa amejiingiza kwenye kikao cha viongozi wa dini. Mara baada ya kikao kumalizika, Malasusa anatajwa ndiye aliyewasiliana na Kayombo, ambaye anatajwa kushirikiana na Mkude, kumdhuru Fr. Kitima, baada ya kupewa hoahead na Bashumgwa.

Kwa hiyo tufahamu kuwa Bshungwa ni kati ya mashetani yanayonyonya damu za watanzania wasio na hatia.
 
Sasa kama mtu alikuwa anakunywa huenda alianzisha ugomvi wakamchapa yeye sio malaika tuache jeshi litusaidie kubaini nani kahusika
Hii ndio justification yenu. Imefail baada ya Askofu Pisa kuiwahi mapema 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom