V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 533
Imani ni assured expectations of things to happen au hope. Nasoma biblia sababu na believe kuwa it's the truth and what is said in it will come true.Ndiyo maana nimesema tunatofautiana. ..wewe unavyoelewa na mimi is totally different. ...parallel lines. ..we can never ever meet to agreement. ..
WHAT IS FAITH. ..stay cool. .na pls don't read my posts na mimi sita soma zako. .I agree to disagree with you. ..have a nice life. ..Imani siyo supernatural power. You don't know what you talking about!
You are an idiot!WHAT IS FAITH. ..stay cool. .na pls don't read my posts na mimi sita soma zako. .I agree to disagree with you. ..have a nice life. ..View attachment 465923
The most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.WHAT IS FAITH. ..stay cool. .na pls don't read my posts na mimi sita soma zako. .I agree to disagree with you. ..have a nice life. ..View attachment 465923
Na tena asiseme kuwa eti ktk imani ya kiislamu ni kosa mtu kushirikiana na majini, maadam wanawatambua kuwa ni waislamu wenzao (wameumbwa kumuabudu Allah), ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake, imeandikwa hivyo.Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Ni kweli, ila hizi nguvu haziishii tu ndani yetu. Ziko hata nje yetu, na ni kuu. Nadhani hapo ndiko mantiki ya uwepo wa Mungu na Shetani hutokea,,,,ktk hizo nguvu nje yetu.Nguvu yako katika kuamini ndiyo inayo fanya kazi kwenye miujiza. ..
Asante sanaNi kweli, ila hizi nguvu haziishii tu ndani yetu. Ziko hata nje yetu, na ni kuu. Nadhani hapo ndiko mantiki ya uwepo wa Mungu na Shetani hutokea,,,,ktk hizo nguvu nje yetu.
Go on.Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.
ngoja nikupe shule kidogo.
Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.
Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.
Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,
tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.
Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.
Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.
Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.
binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.
Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.
TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.
KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.
MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.
KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.
KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.
HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.
NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME
Hao malaika walimuasi mungu kwa jambo lipi yani ni uasi gani waliyoufanya kwa mungu?Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
Ni uasi gani hao malaika waliufanya kwa mungu?Na tena asiseme kuwa eti ktk imani ya kiislamu ni kosa mtu kushirikiana na majini, maadam wanawatambua kuwa ni waislamu wenzao (wameumbwa kumuabudu Allah), ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake, imeandikwa hivyo.
Na kimsingi hii ndo tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu, majini au pepo wabaya ktk Ukristo ni malaika waasi na hawana nafasi tena na Mbingu (hawawezi tena kuwa wachamungu), wakati ktk Uislamu majini ni viumbe vilvyoumbwa hivyo, na kama tulivyo wanadamu, nao kuna wema (wachamungu), na waasi wanaomtii shetani.
Hii tofauti ni kubwa sana na inazaa hoja nyingi, na kwa tofauti hii, haiwezekani wakristo kwa waislamu kwa pamoja kwenda mbinguni (kama ipo). Mmojawapo ni muongo mkuubwa,.
"Wapo duniani kushirikiana na shetani ambaye ni baba yao"Majini kwa Waislamu ni waumini wa kwanza kabisa kuingia katika uislam.na waliposikia habari ya dini hii walifurah sana na kusilimu kuwa waislam na mpaka leo hii wanasal na waislam bila shida. Kwa wakristo hawa ni waliokuwa malaika wakaasi na lucifer au shetani. Wanaitwa mapepo wabaya. Hawa hakuna mzuri ila wote ni wabaya.walishamuasi Mungu na hakuwasamehe...wapo duniani kushirikiana na shetan ambaye ni baba yao kuwaangusha na kuwatesa binadamu
Hawa majini miongoni mwao,si ndio yule aliyemzidi Yesu nguvu,akambeba juu kwa juu.Na kumuweka na njaa siku arubaini.Majini ni malaika walio muasi Mungu pamoja na Shetani ,Majini yanatumiwa na shetani kutumikisha watu. wakrito wanayaita mapepo .Hakuna ushirika wowote kati ya ukristo na majini au mapepo ,kiufupi hayataki jina la Yesu. Ila kuna ushirika mkubwa kati ya uislamu na Majini ,wanaswali nayo wanasema ni maislamu .Mimi hapo ndio napata mashaka makubwa juu ya Dini hii.
inategemea umeamua kuita jina gani kwenye kitabu chako lakini haiondoi maana halisi ya kitu mfano mandela aliitwa gaidi na mataifa yenye nguvu duniani ingawa ukweli ilikuwa tofauti.Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Na idadi yao ndiyo ile ile au huwa wanaongezeka?majini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
Mnatafuta muongozo wa jambo wakati imani zenu zinatofautiana? Unataka kumjua jini wakati huamini kama kuna majini?Na tena asiseme kuwa eti ktk imani ya kiislamu ni kosa mtu kushirikiana na majini, maadam wanawatambua kuwa ni waislamu wenzao (wameumbwa kumuabudu Allah), ndugu wa muislamu ni muislamu mwenzake, imeandikwa hivyo.
Na kimsingi hii ndo tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu, majini au pepo wabaya ktk Ukristo ni malaika waasi na hawana nafasi tena na Mbingu (hawawezi tena kuwa wachamungu), wakati ktk Uislamu majini ni viumbe vilvyoumbwa hivyo, na kama tulivyo wanadamu, nao kuna wema (wachamungu), na waasi wanaomtii shetani.
Hii tofauti ni kubwa sana na inazaa hoja nyingi, na kwa tofauti hii, haiwezekani wakristo kwa waislamu kwa pamoja kwenda mbinguni (kama ipo). Mmojawapo ni muongo mkuubwa,.
Nadhani unaongelea shetani..jini ni kiumbe kama sisi binaadam tulivyoumbwa.Ndani yao ndio kuna waasi hawa tutawaita masheitwaani.majini ni sawa n mapepo hawa viumbe walikua ni malaika wakiitumikia enzi.mbnguni hawa malaika walimwas mungu wakamfuata shetani sasa hao falling engels from haven ndio hayo majini yanayotusumbua wanadam dunian ni mawakala w shetani
Kila navojitahidi kusoma hilo andika ndo nazidi kupata ukakasi kama si kuvurugwa zaidi. Maana maelezo yako yamekuwa kivurugeeewewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.