Je, asali haipandishi kiwango cha sukari mwilini?

Honey is not safe any more b'se of presence of artificial honey and hybrid bees. Best option is agave syrup and date sugar. You may likes to know these organic foods too.
 
Sukar fake zipo nying sana..aspartine...zipo nying tu madukam.ulizia...kama tuvidonge fulan
 
Asali na sukari ya kawaida inayotokana na miwa (sucrose) ni disaccharides zinazoundwa na sukari rahisi ( monosaccharide) za Aina mbili glucose na fructose. Tofauti ya asali na sukari ya miwa Ni uwiano wa sukari rahisi ambapo asali ina asilimia 40 fructose na asilimia 30 Ni glucose. Sukari ya viwandani inayotokana na miwa ina uwiano wa 50% glucose na 50% fructose. Kwa minajili hii sukari ya miwa ina kiwango kikubwa Cha sukari ukilinganisha na asali. Mathalani uwezo wa sukari ya kawaida kupandisha kiwango Cha sukari kwenye damu ( glycemic index) Ni 60 wakati glycemic index ya asali ni 58. Kwa hiyo asali na sukari ya kawaida vinaweza kupandisha sukari kwenye damu kwa haraka kwa sababu zote Ni disaccharides na zinafyonzwa (absorbed) kwa haraka baada ya kutumia. Pia mfanano wa monosaccharides na utofauti mdogo wa glycemic index unafanya sukari ya miwa na asali kupandisha kiwango Cha sukari kwenye damu kwa wingi zaidi ukilinganisha na vyakula visivyokobolewa. Kwa minajili hiyo haishauriwi mtu mwenye kisukari kutumia asali. Kula asali hata kijiko kimoja kunaweza kupandisha sukari kwa haraka na kumsababishia matatizo mhanga wa kisukari. Pia ni hatari zaidi kuitumia kabla ya kulala. Ukitaka kuthibitisha hili tumia asali kabla ya kulala halafu ukiamka asubuhi pima sukari yako uone itakavyokuwa kubwa ukilinganisha na siku ambazo umelala bila kuitumia.
Nakushauri unywe chai yenye viungo kama tangawizi, mdalasini, limao, pilipili mtama na karafuu bila kuweka sukari ya aina yeyote.
Tunaona ushauri mbalimbali kuwa badala ya sukari/asali itumike hiki kiungo kinaitwa Stevia. Stevia ni nini hasa?? Faida na Hasara zake mwilini ni zipi??
 
Sasa kama na asali inapandisha sukari mwilini tutatumia nini sasa?? Ina maana hata kama huna kisukari ukitumia sana asali utakuwa kwenye hatari ya kupata kisukari??
 
Sasa kama na asali inapandisha sukari mwilini tutatumia nini sasa?? Ina maana hata kama huna kisukari ukitumia sana asali utakuwa kwenye hatari ya kupata kisukari??
Ahaha mkuu punguza hasira maana hata hao nyuki wenyewe wanatumia sukari kutengeneza asali pia 😀😀🙂.

Hivyo pengine hiyo asali inayo sukari ndani yake.

Pengine asali ya zamani ndio ilikuwa bora mana nahisi nyuki wa zamani hawakuwa wakienda kuiba sukari yenye madhara dukani kwa mangi na kuenda kutengeneza asali
 
Sukari ni sumu, ila sukari pia ni nishati ya mwili sukari kukaa kwenye damu inasababisha matatizo mengi sukari jnatakiwa inatumika kwenye cells ndio maana mwili umebalance kiwango cha sukari kwenye damu. Hapa nazungumzia glucose sio mtibwa sugar
 
Ahaha mkuu punguza hasira maana hata hao nyuki wenyewe wanatumia sukari kutengeneza asali pia 😀😀🙂.

Hivyo pengine hiyo asali inayo sukari ndani yake.

Pengine asali ya zamani ndio ilikuwa bora mana nahisi nyuki wa zamani hawakuwa wakienda kuiba sukari yenye madhara dukani kwa mangi na kuenda kutengeneza asali
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom