Je anaweza ku-reseat somo moja?

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
344
Kuna huyu dogo ana IV ya 26 anataka kureseat ili apate credit moja C nyingine itakayo mwezesha kwenda form five je kwa sasa hivi inawezekana

Kureseat ukapata C nyingine ukaunga vyeti viwili
 
du huu mtifuano amazing free stress zero na four zatanda nchi zima naona 50% watazama uku madawa ya kulevya bange ,unga , na viroba , biashara ya ngono kupanda kasi zaidi maana hapa papuchi kimboka itauzwa buku sasa ,panya road dohhh naomba ndali awahurumie hawa vijana nikikumbuka alivo wabadilishia gia form six ameeleweka na kwa matokeo haya....
 
Anaweza lakini namshauri arisiti masomo matatu au manne na asome sana tena sana. Faida ya kurisiti masom mengi na si moja ni kwamba endapo akirisit moja na NECTA wakakaza itakula kwake maana hana pa kuegemea lakn mengi wakikaza moja mengine anaweza ponea.
 
Umetoa ushauri mzuri sana
 
Ndalichako hana uwezo wa kuongoza wizara arudi kwao kigoma tu
 
Back
Top Bottom