Je anakua kakupenda au ndo tabia yake?

Je anakua kakupenda au ndo tabia yake?

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Kila mtu alie kwenye mahusiano anahistoria jinsi gani alimpata mwenzi wake.

Binafsi nimewah kuona mtu alimtongoza mwanamke lakini huyo mwanamke alikua na mpenzi wake mwingine.

Ila huyo mwanaume akamshawishi mwanamke aachane na huyo jamaa na hili kufanikisha hilo alimshawishi ampigie simu jamaa yake amweleze kuwa hampendi tena na amemchoka na kila alichokua akielezwa mwanamke alifanya.

Na kweli mwanamke akafanya ivo na mpaka sasa huyo mwanaume yuko na huyo mwanamke ingawa bado hawajaoana.

Swali langu kwa wanaume wanaopata wenzi wao kwa mtindo huu ni je mwanamke anakua kakupenda kweli au ni mwepesi wa kudanganywa?
 
sema tuu kama ni wewe,,,,.kwa mtazamo wangu hapo hamna dem, kwa wepesi huo hapo hamna kitu, hata huyo mlume ni zero.....au alikuwa mlevi?.......
 
hii tabia sio nzur...ubabe had kwenye uhusiano? huwa mapenz ya aina hiyo hayana mwisho mzur saaana. Kwa mie nilimpata wangu simple hata skumbuki nilianzaje na had sasa maisha tulishayaanzisha zaid ya miaka mitatu na familia tayar
 
inawezekana kakupenda kweli, wewe unafikiri kuna single girls/boys siku hizi? ni kuachanisha tu na kuanza upya.
 
Halafu kwa nini unadhani mwanamke kadanganywa????!!!
Yawezekana mwanaume ndio kaingia kingi mzima mzima sasa why mwanamke alete kuvuta miguu wakati hawajaoana na.inawezekana wa kwanza hakuwa na dalili endelevu????!!!
Hapo dada kaokota embe dodo jangwani jamaa yako anajiona bingwa!!!!!!

Iko hivi sasa hapo mdada kapiga simu na karopoka ili kuweka line sawa yawezekana baadaye anaenda kumaliza msala wake "as per diplomatic description" kwa muda wake na yawezekana side kicks zikawepo,wana akili sana wanawake wanapokuwa na yao wayatakayo kwa dhati and
they are good in marking their preys,patience is guaranteed with them NEVER underestimate a
woman!!!!!
 
Hiyo ndo yenyewe bana .........!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Naskitika hamuna hata aliekuambia karibu jf, Ahya karibu Jf kwanza, lkn mbona kama jibu la swali lako unaloo
 
"It doesn't matter if you win by an inch or a mile, WINNING IS A WINNING "

Sosi: Daud omar
 
Last edited by a moderator:
maybe convicing power ya huyo mshawishaji ilimkolea na kumwingia kisawasawa mshawishwaj!
 
Dunia duara,iko siku pale ulipokuwa umesimama unamshawishi aachane na mwenzi wake,atasima mwingine na kumshawishi vivyo hivyo!"What goes around comes around"
 
mapenzi bwana hayana formular kuna jambo hata wewe umefanya mwingine akiona ataona ujinga,,... kila mtu na style yake bwana
 
"It doesn't matter if you win by an inch or a mile, WINNING IS A WINNING "

Sosi: Daud omar

Ahahahaha Ahya bhana mkuu watu 8 hiapa sosi yake ni kwenye ile movie ya fast & furious 3
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom