julius mtatiro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je anachofanya Julius Mtatiro ni sahihi?

    Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni. Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Responded Julius Mtatiro: Wanafunzi waliozidishiwa pesa za 'Boom' wameonesha ubinafsi. TAKUKURU wafanye kazi yao hadi mwisho

    Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuendelea kufanya uchunguzi wake hadi mwisho kuhusu wanafunzi walioingiziwa kimakosa fedha za mikopo Amesema hakuna sababu ya wanafunzi hao kutafuta huruma kwani kitendo cha wao kukataa...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro kwenye hili umefeli sana bro

    Katika mazingira ambayo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kutafuta ajira baada ya kuhitimu vyuo vikuu, mjadala kuhusu elimu ya ufundi na elimu ya juu ni muhimu. Lakini kilichofanywa na mwanasiasa Julius Mtatiro si mjadala wa kujenga taifa — ni propaganda ya kisiasa iliyovuka mipaka ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

    Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima. Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Julius Mtatiro jiandae kutenguliwa

    Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa. Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Mahsusi wa Julius Mtatiro (Wakili) na Ally Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS

    Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS Watanzania na mawakili tumesikiliza na kufuatilia kwa kina, mjadala wa wazi uliorushwa na Star TV siku ya Jumamosi 27 Julai, 2024 ukiwahusisha mawakili mbalimbali waliopendekezwa kuwania nafasi ya...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi

    MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum. Akiambatana na Kamati ya Usalama...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkuu wa Wilaya Mtatiro, abomoa Karavati lililochakachuliwa kwenye Barabara ya Lyabusalu Mwajiji

    MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa shilingi 111,822,000 (Mil. 111) wa barabara ya kilomita 5 wa Lyabusalu Mwajiji - Halmashauri ya...
Back
Top Bottom