Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,785
- 218,411
Kama wasio na kazi hawaruhusiwi , huyu mhusika kisharudi kwao?Ila kweli bila kaz Dar si pagum sana na hizi flaiova 🤣🤣
🤣🤣🤣 we achana na hao wachekeshaji wa mfalme mkuu, usiwawaze bhanakama wasio na kazi hawaruhusiwi, huyu mhusika kisharudi kwao?
aiseee !!Alisema pia kama hujaoga usiingie mjini, wanaoenda Ilala mnakumbuka kuoga?
Mie sina kazi na nipo ilalaView attachment 1716745
Paulo Makonda alipokuwa RC wa Dar es salaam aliwahi kuwapiga marufuku wale wasio na kazi kutoka Mikoa mingine kufika kwenye jiji hilo ( sasa ni jiji la Ilala ) , na kwa kweli wengi walitii amri ile na kuendelea kubaki kwenye vijiji vyao .
Sasa hoja yangu ni kutaka kujua hatima ya amri ile "halali" baada ya Makonda kuondolewa madarakani
Nimecheka sana aisee!!Mie sina kazi na nipo ilala
ngoja tufuatilieNikweli bado tupo huku vijijini kwetu tunaogopa hata kuja huko Dar,kwani jamaa alisha tengua kauli ili nianze kuitafuta nauli ya kuja huko?
Kuna mmoja baada ya kuteuliwa aliitisha press na kuongea kutwa nzima . Nikajue huyu hamna kitu.aiseee !!
Ndiyo...jana nimemuona mitaa Ya Usagara_Misungwi huku Mwanza.Kama wasio na kazi hawaruhusiwi , huyu mhusika kisharudi kwao?
Alisema pia kama hujaoga usiingie mjini, wanaoenda Ilala mnakumbuka kuoga?