Je, amri wanazotoa Wakuu wa Mikoa na viongozi wengine huwa zinadumu au wakiondoka nazo zinafutika?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,472
215,294
Paulo Makonda alipokuwa RC wa Dar es salaam aliwahi kuwapiga marufuku wale wasio na kazi kutoka Mikoa mingine kufika kwenye jiji hilo (sasa ni jiji la Ilala) , na kwa kweli wengi walitii amri ile na kuendelea kubaki kwenye vijiji vyao.

Sasa hoja yangu ni kutaka kujua hatima ya amri ile "halali" baada ya Makonda kuondolewa madarakani .
 
View attachment 1716745

Paulo Makonda alipokuwa RC wa Dar es salaam aliwahi kuwapiga marufuku wale wasio na kazi kutoka Mikoa mingine kufika kwenye jiji hilo ( sasa ni jiji la Ilala ) , na kwa kweli wengi walitii amri ile na kuendelea kubaki kwenye vijiji vyao .

Sasa hoja yangu ni kutaka kujua hatima ya amri ile "halali" baada ya Makonda kuondolewa madarakani
Mie sina kazi na nipo ilala
 
Sijui kama huwa zinadumu,lakini kwani katiba inasemaje kuhusu mtu kusafiri ndani ya nchi yake
 
Nikweli bado tupo huku vijijini kwetu tunaogopa hata kuja huko Dar,kwani jamaa alisha tengua kauli ili nianze kuitafuta nauli ya kuja huko?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom