Duh nilikua cjuiHailuhusiwi,mmoji Apache kazi ndio ndoa ifungwe.
Ukiona kuna afsa amemuoa private wengi wanatumia majina ya wadogo/kakazao lakini yeye ndio anaishi nae kwa lengo la kutokuachishwa kazi kwa mmoja wao il I kipato cha familia kiongezeke.
Hahahaha mfano mubashara huu.mbona amiri jeshi mkuu amemuoa mwalimu wa primary?
Nimeoanza kuona walimu walivo na nyota!mbona amiri jeshi mkuu amemuoa mwalimu wa primary?
Nadhani inawezekana mkuu