Kwa hyo mkuu umekubali kabisa akizima gari akiwasha AC itafanya kazi nakula mafuta![]()
![]()
ngoja waje wajuzi. Lakini jibu la kwangu ni NDIYO. Comnsumption ya mafuta inakua juu pale unapotumia AC kwa sababu compressor ya AC inaongeza mzunguko wa injini (RPM)




Sasa kama sijawasha gar mafuta yanaendaje![]()
Labda sikuelewa swali. Ukiwa umeweka SWITCH ON ama pale kwenye ACC (Accessories), feni tu ndio inafanya kazi kwa kutumia betri. AC inafanya kazi injini ikiwa imewashwa tu. Sorry kama sikuelewa swali lako.Sasa kama sijawasha gar mafuta yanaendaje![]()
AC haifanyi kazi gari ikiwa kwenye SWITCH ON ama ACC. Inafanya kazi gari likiwa limewashwa tu. Naona sikulisoma vzr swali. Elewa hivyoKwa hyo mkuu umekubali kabisa akizima gari akiwasha AC itafanya kazi nakula mafuta![]()
AC ni jini kufyonza wese
Naongelea kitu kama hiki yan unaweka Gar On then unawasha AC je hapa mafuta yanatumika?Naomben kueleweshwa ni kwanamna gan AC ya gar inatumia mafuta
Mfano nikiwa nimeweka gar on bila kuliwasha kabisa alafu nikawasha AC mafuta yanatumika??
Ohoo sasa nimekupata safi sanaAC hautumii mafuta ili kufanya kazi yake Bali hutumia umeme. Unaweza kuwasha AC pasipokuwasha injini ya gari yako.
Matumizi ya mafuta huongezeka pindi utumiapo AC kwasababu gari italazimika kutengeneza umeme wa ziada kwaajili ya AC, hivyo matumizi ya mafuta huongezeka. Lakini ni kwa kiasi kidogo sana.
#ZINGATIA; matumizi ya AC pasipo kuwasha injini ya gari hupelekea betri kufa mapema.

Mafuta hayatatumika hata kidogo AC hutumia umemeNaongelea kitu kama hiki yan unaweka Gar On then unawasha AC je hapa mafuta yanatumika?
Uki start gari najua yanatumika je ukiweka tu on bila kustart gar mafuta yanatumika?View attachment 1541269View attachment 1541268
Ikiwa unavuta mzigo wa kilo tano, ukiongezewa kilo 2 si itabidi uongeze nguvu za kuuvuta?
AC mfumo wake unazungushwa na Engine ya gari, unapoiwasha AC, compressor inaongeza mzigo kwa engine.
Hata ukiwa unatumia generator ya umeme, mlio hua unabadilika unapowasha vifaa vinavyotumia huo umeme.
Na kwakua engine inapozunguka inatumia mafuta, inapoongezewa mzigo itatumia mafuta mengi zaidi.
AC hautumii mafuta ili kufanya kazi yake Bali hutumia umeme. Unaweza kuwasha AC pasipokuwasha injini ya gari yako.
Matumizi ya mafuta huongezeka pindi utumiapo AC kwasababu gari italazimika kutengeneza umeme wa ziada kwaajili ya AC, hivyo matumizi ya mafuta huongezeka. Lakini ni kwa kiasi kidogo sana.
#ZINGATIA; matumizi ya AC pasipo kuwasha injini ya gari hupelekea betri kufa mapema.
Upo sawa kabisa mkuuHapo umelenga point kabisa.
Injini inatumika kama generator, unapowasha AC ni sawa umeongeza mzigo (Load) kwenye mfumo wa kuzalisha umeme wa gari. Kwa hivyo injini inapata resistance na kuongeza mzunguko ili kukabiliana na uzito ulioongezeka katika uhitaji wa umeme wa kuendesha AC.
Effect hiyo inaonekana zaidi gari inapokuwa haitembei au kama inatembea mwendo wa chini. Lakini kama upo safari ya masafa katika mwendo kasi basi sio tatizo na hitaona tofauti.