Je, ‘’15 minutes of fame’’ za Fatma Karume zimegharimu biashara za IMMMA Advocates na TLS?

wewe ni kati ya watanzania wajinga kabisa kupata kutokea hivi mtu akitetea uhiru wa faragha anatetea ushoga? kwa hiyo na madaktar wanaohifadhi siri za wagonjwa wa HIV nao wanasambaza ukimwi!
haki ya usiri /privace ipo kikatiba kwakuwa mmezoea kukenua meno katiba inapovunjwa ndo mana mnaona kawaida tu
Tatizo la watu wa aina yako ni kukariri badala ya kuelewa, Nani alikuambia ushoga ni faragha? Watu, mme kwa mme au mke kwa mke wanafunga ndoa hadharani na wanatambulika kama mke na mme halafu wewe unaita faragha, kisa eti Lissu aliwaambia hivyo nanyi mkaishia kukariri tu bila kuelewa> Bull shit!
 
Kwa sasa dhamira inamsuta, Lakini ndio hivyo, bado yule anaeomba msaada dhidi ya baridi Kali na mlo huko majuu, atajuta tu, acha kwa sasa aburudishe jukwaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu watateseka sana. Na wengine kufa kabisa. Lakin unaweza kukuta ndio wanaosaidia au watakao saidia kuuweka mustakabali wa nchi hii na vizazi vyake katika hali bora

Kama wanachofanya leo ni upuuzi au sio upuuzi huenda itakuja kujulikana vizuri baadae na sio leo
 
Tatizo la watu wa aina yako ni kukariri badala ya kuelewa, Nani alikuambia ushoga ni faragha? Watu, mme kwa mme au mke kwa mke wanafunga ndoa hadharani na wanatambulika kama mke na mme halafu wewe unaita faragha, kisa eti Lissu aliwaambia hivyo nanyi mkaishia kukariri tu bila kuelewa> Bull shit!
confidentiality/privace/ dignity and truthworth of individualas/ society diversty/ endlea kupiga kelele ukizan unaishi kisiwan!
kama kweli mnauchukia ushoga mbona hamjamfukuza shaka s. shaka kiongozo wa uvccm aliyeolewa na mume mwemziwe bwana mpelembwe huko tanga?
 
wewe ni kati ya watanzania wajinga kabisa kupata kutokea hivi mtu akitetea uhiru wa faragha anatetea ushoga? kwa hiyo na madaktar wanaohifadhi siri za wagonjwa wa HIV nao wanasambaza ukimwi!
haki ya usiri /privace ipo kikatiba kwakuwa mmezoea kukenua meno katiba inapovunjwa ndo mana mnaona kawaida tu
Huyo uliyesema mjinga naamini anaweza elimika na UJINGA ukamtoka, ila kwa hii comment yako naamini wewe ni MPUMBAVU taifa halijawahi pata.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Tatizo la watu wa aina yako ni kukariri badala ya kuelewa, Nani alikuambia ushoga ni faragha? Watu, mme kwa mme au mke kwa mke wanafunga ndoa hadharani na wanatambulika kama mke na mme halafu wewe unaita faragha, kisa eti Lissu aliwaambia hivyo nanyi mkaishia kukariri tu bila kuelewa> Bull shit!
Ndio maana nimemwambia ni MPUMBAVU. Anaishi kwa kukarr lisu kasema.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kwenye nchi zetu zinazoendelea huwezi kuepuka ukweli kuwa serikali ndio taasisi pekee ambayo matumizi yake ya pesa ndio kipato kikubwa kwa makampuni makubwa ya huduma na kwa mantiki hii huwezi kufanya kazi za uwakili ambazo zinahusu makampuni makubwa ya ndani na kimataifa ambayo mdawi wake mkubwa ni serikali halafu ukaanza kuishambulia serikali kisiasa ukitegemea mafanikio kibiashara. Ni lazima utapoteza moja au yote. Huu ni ukweli ambao wenye kujua umuhimu wa biashara zao za huduma wanaujua na huufanyia kazi.

IMMMA Advocates ni kampuni kubwa ambayo niya vigogo ndani ya CCM ambao mizizi yao iko pia serikalini na kwenye taasisi ya mahakama. Kwa mantiki hii hawawezi kukubali kampuni yao kugonganishwa kisiasa na serikali waziwazi.

Alichokuwa anafanya Fatma Karume hakina tofauti na kujipiga risasi mguuni bila kujua huku akishangiliwa na watu wanaodhani anachofanya ni kuwaburudisha kwenye mitandao huku kampuni ya IMMMA Advocates ikipata matatizo kibiashara.

Badala ya kutumia Urais wa TLS kama daraja la kuiunganisha IMMMA Advocates kibiashara badala yake ametumia kama uzio wa kuitenganisha na serikali. Hata Urais wake wa TLS umeifanya TLS kuwa mbali na taasisi ya mahakama badala ya kuwa karibu zaidi.

Washirika wenzake wamemuomba achague moja kati ya mawili kama anataka aendelee kuwa mshirika wa IMMMA Advocates. Kama anataka aendelee na uanaharakati kama Rais wa TLS au aachane na uanaharakati ndani ya TLS.

Kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ilipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Urais wa Fatma Karume aliposema, ‘’Chama Cha Wanasheria Nchini (TLS) kuacha kujishirikisha na masuala ya kisiasa na uanaharakati na iwapo watakiuka hilo Mahakama haitowapa ushirikiano’’.

Kauli ya Jaji Mkuu ilihitimishwa pale ambapo kwa mara ya kwanza TLS hawakupewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini. Hiki kilikuwa ni kitendo cha kuwafungua macho wanachama wa TLS kuhusu mstakabali wake nchini kama mdau wa sheria. Hii ilipelekea hata jina lake kutopendekezwa na wanachama wa TLS kuwa mgombea Urais.

Yaliyomkuta Fatma Karume yanatoa angalizo kuwa huwezi kuukata mti alioukalia mwenyewe maana ukianguka unaanguka na wewe! Fatma alikuwa anakata mti wa IMMMA Advocates na TLS kwa kujua au bila kujua!

Kuna wengine watasema, ''hakuna mkate mgumu mbele ya chai'' hasa kama kuna mlaji!
ndio maana nchi hii hatuendi popote.
mnachofikiria nyie ni masilahi yenu binafsi...eg maslahi ya IMMMA Vs maslahi ya wanyonge.
so, unashauri asiikemee serikali ili firm yao iendelee kufadhiliwa na serikali..!!
ufisadi hautaisha chini ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye nchi zetu zinazoendelea huwezi kuepuka ukweli kuwa serikali ndio taasisi pekee ambayo matumizi yake ya pesa ndio kipato kikubwa kwa makampuni makubwa ya huduma na kwa mantiki hii huwezi kufanya kazi za uwakili ambazo zinahusu makampuni makubwa ya ndani na kimataifa ambayo mdawi wake mkubwa ni serikali halafu ukaanza kuishambulia serikali kisiasa ukitegemea mafanikio kibiashara. Ni lazima utapoteza moja au yote. Huu ni ukweli ambao wenye kujua umuhimu wa biashara zao za huduma wanaujua na huufanyia kazi.

IMMMA Advocates ni kampuni kubwa ambayo niya vigogo ndani ya CCM ambao mizizi yao iko pia serikalini na kwenye taasisi ya mahakama. Kwa mantiki hii hawawezi kukubali kampuni yao kugonganishwa kisiasa na serikali waziwazi.

Alichokuwa anafanya Fatma Karume hakina tofauti na kujipiga risasi mguuni bila kujua huku akishangiliwa na watu wanaodhani anachofanya ni kuwaburudisha kwenye mitandao huku kampuni ya IMMMA Advocates ikipata matatizo kibiashara.

Badala ya kutumia Urais wa TLS kama daraja la kuiunganisha IMMMA Advocates kibiashara badala yake ametumia kama uzio wa kuitenganisha na serikali. Hata Urais wake wa TLS umeifanya TLS kuwa mbali na taasisi ya mahakama badala ya kuwa karibu zaidi.

Washirika wenzake wamemuomba achague moja kati ya mawili kama anataka aendelee kuwa mshirika wa IMMMA Advocates. Kama anataka aendelee na uanaharakati kama Rais wa TLS au aachane na uanaharakati ndani ya TLS.

Kauli ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ilipigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Urais wa Fatma Karume aliposema, ‘’Chama Cha Wanasheria Nchini (TLS) kuacha kujishirikisha na masuala ya kisiasa na uanaharakati na iwapo watakiuka hilo Mahakama haitowapa ushirikiano’’.

Kauli ya Jaji Mkuu ilihitimishwa pale ambapo kwa mara ya kwanza TLS hawakupewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini. Hiki kilikuwa ni kitendo cha kuwafungua macho wanachama wa TLS kuhusu mstakabali wake nchini kama mdau wa sheria. Hii ilipelekea hata jina lake kutopendekezwa na wanachama wa TLS kuwa mgombea Urais.

Yaliyomkuta Fatma Karume yanatoa angalizo kuwa huwezi kuukata mti alioukalia mwenyewe maana ukianguka unaanguka na wewe! Fatma alikuwa anakata mti wa IMMMA Advocates na TLS kwa kujua au bila kujua!

Kuna wengine watasema, ''hakuna mkate mgumu mbele ya chai'' hasa kama kuna mlaji!
Twendeni TARATIBU,Kwani TLS inakuwa kwenye ubora pale maoni ya Jaji mkuu yanapokuwa yanaifavor ?Mi nilidhani ni taasisi huru ambayo inajiendesha kwa haki zake kikatiba na kuimamia viongozi na wanachama kwa taratibu zao bila kuhusisha moni binafsi ya Jaji mkuu,Rais ,au yeyeote
 
All this is because we are fighting the dictator, violation of human rights, etc. Fatuma yuko sahihi! Had it not been for the dictatorial regime current undeminig Tanzania freedom , all this would not have happened! TUNAPIGANA NA IDD AMIN, MUUAJI!
Hamia ulaya tena una fanana nao hata kwa lugha!
 
sikutegemea kama ungekuja na hoja finyu kama hizi.wewe kama watu wachache wa ccm ambao angalau wamebakiwa na akili hata za kuchambua mambo kidogo sana.Lakin leo umezingua.
1.alichokuwa akikifanya Karume hakina uhusiano wowote na kampuni hizo za mawakili.Yeye alifanya hicho kama "binafsi"
2.Unatuaminisha kuwa ili ufanikiwe lazima ujihusishe na ccm moja kwa moja hiyo ni nonsense.wapo kina Manji ,Mo, na wengine kibao washaonja joto la jiwe la unafiki wa ccm.
2.Alichokuwa akikifanya Karume ni kweli tupu hivyo kweli haiwezi kuzidiwa na uongo,unafiki na uzezeta wa ccm kama wanavyofanya akina Mtatiro,kafulila na wengine.

3.TLS kumweka kando urais si sababu ya kisiasa,hizo ni hisia zako.TLS wanafanya uchaguzi after 1 year naye ashatimiza majukumu yake amekamilisha alichoagizwa.katika kipindi cha miaka 3 TLS imekuwa haitishiki na vitisho vya walioolewa na mhimili wa serikali hasa mahakama na bunge.Imejitegemea kama katiba inavyotaka.
4.Seikali ikitaka kila taasisi na chombo na kila mtu awe na mawazo sawa na serikali basi Maendeleo tutasikia kwenye bomba.Mungu aliumba mimea ya aina mbalimbali ipendezeshe dunia.kuna mingine ina rangi nzuri lakini ni sumu hatari.Be careful na lichama lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa amefanikiwa kwa lipi kama wadau wake wa karibu wamemtupa kuleee. Yaani Mahakama, Serikali na Bunge? Amebaki kuhutubia mitandaoni tu!! Hahaha..! Rais wa TLS anahutubia mitandaoni kweli? Halafu unasema amefaulu? Please be serious!!!
 
Kwa uzi ni pasina shaka mnakubali kwa ndimi zenu na nafsi zenu kuwa serikali na mihimili nchini Tanzania ni ya kidikteta.

Kama hivi ndivyo basi Fatma kashinda ni bora Immma ipate taabu, mbona hata acacia wanahemea gas ingali sio wanasheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora IMMMA Advocates ipate taabu wakati wenye kampuni wamemwambia achague kusuka au kunyoa!

Wahenga walisema, huwezi kutumikia mabwana wawili!

Kama anataka kuendelea kuwa IMMMA Advocates lazima achague moja.
 
Aibu zaidi kwake ni kupaka matope TLS kwa kutaka kuifanya ikubaliane na masuala ya Ushoga
Si kweli ametaka sheria zetu na mikataba yetu ya haki za binadamu izingatiwe ambayo tayari tumesign na ndo ina wapa mashoga uhuru na amani wa kuishi
 
Back
Top Bottom