Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,579
- 16,445
...kama unavyoona
....ndoa ilikua ya BOMANi
Bomani ndo wanakwenda uchi hvy?
...kama unavyoona
....ndoa ilikua ya BOMANi
Tanuru analolipitia JD ni Mungu mwenyewe mwenye kujua ukali wa maumivu yale!
...asee mie cjuiBomani ndo wanakwenda uchi hvy?
Sina uhakika kama ni kanisani
Dah! kweli twatofautiana..yaani vazi la harusi lenye kuonyesha mwili namna hii! Tena siku ya harusi!
Tanuru analolipitia JD ni Mungu mwenyewe mwenye kujua ukali wa maumivu yale!
Tanuru analolipitia JD ni Mungu mwenyewe mwenye kujua ukali wa maumivu yale!
Hiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?....zamani
Duh hili swali naulizwa Leo?Hiyo ndoa ilifungiwa kanisa gani?
[emoji16]Nitafanyaje sasa wakati ndo nimepata wasaa?Duh hili swali naulizwa Leo?
Tupotezee tu ,yaliyopita. .[emoji16]Nitafanyaje sasa wakati ndo nimepata wasaa?
Naomba usininyime haki ya kupata habari! Basi ninong'oneze watu wasisikieTupotezee tu ,yaliyopita. .
Hahaha ,yashapita haya bestNaomba usininyime haki ya kupata habari! Basi ninong'oneze watu wasisikie
Basi sawaHahaha ,yashapita haya best
kondom moja tu ingeweza kuzuia hii comment kutokea....Kijana Habash achakarike kuhifadhi jina la ukoo, huyo demu tasa kashampotezea time.