JCB 'azingua' Arusha leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JCB 'azingua' Arusha leo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kalulu Metusela, Jan 21, 2012.

 1. K

  Kalulu Metusela Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jcb leo azingua stagini baada ya kupanda jukwaani soweto na kusema hataki ma underground kupanda jukwaani wala kumpa hi., hali hiyo imeleta purukushani kubwa hadi watu kutupa mawe jukwaaani., nimepata xhance ya kuongea na underground mmojaa ambaye alijiandikisha lakini hakuitwa jukwaani akasema kwamba "jamaa anaogopa kufunukwa na maunderground"...!
   
 2. F

  Fraddle b JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwel anaogopa kufunikwa coz wimbo aliopatia ni ukisikia pa! So naye ni kama underground 2
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kumuita JCB superstar ni kutomtendea haki,
  simply JCB hajafikia hatua hiyo,bado yupo chini
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  JCB mwenyewe ni underground!
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jcb ndio nani?
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  ule wimbo wake mpya unaitwa facebook na twiter au? Hana jipya.!
   
 7. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Amesahau alipotoka kupata tuzo ya Kili anajiona superstaa, lakini watu wa Arusha atakoma kuringa
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Hana kitu huyu jamaa kama nitamsifia basi nikuvuta bangi sana pale kweli zile studio zao pale Kijenge.
   
 9. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,100
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  dah!!!mwanaaaa sithanii kamaa hiyo kauliiii unayosemaa ni yaukweliii,i was there...JCB hakutoa inyooo kaulii,ilaaa wasaniii na vijana wanao jiita maselaaa wengi ni maselaaa mavii 2,wat happen nikwambaa baazi ya under ground wa arachugaa ni wahunii tu na wavutaaa mashadaaaa hewani,pombeee now wanakulaa chalasi na teriii,wanasemaaa ni hip hop...walitaka kuaribu show kwa kuanzaa kuzinguana zinguana wenyewe kwa wenyeweeeeee
   
 10. d

  duanzi JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 16,455
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  hiyo kali jcb nae hajatoka ni underground tu hana lolote mibangi
   
 11. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbona amekiri kwamba ye ni underground kwenye you heard ya soudy brown amekana haikutokea
   
 12. K

  Kalulu Metusela Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unadhani ntaandika kitu jf bila kuwa na uhakika..? Nilikuwepo tena bak stage.,usisingizie underground wakati jcb amekuja amelewa hajielewi., alikaa soweto bar toka mida ya asubuhi anazitwanga na nimeshuhudia hiyo., na hiyo statement kaiongea hadi batoo wa m.j fm akamuombea msamaha baada ya kushuka jukwaani.., au wewe ndo ulikuwa umelewa bab..,usitetee utumbo jomba..!
   
 13. K

  Kalulu Metusela Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anakiri kwa kujishtukia tu., uliza mtu aliyekuwepo pale., mm ni mmoja wao na nimemsikia na baadae watu walimdaka yuko pub moja maeneo ya philips alipoulizwa juu ya kauli yake akasema alikuwa amelewa hakumaanisha...! Hii ndio u heard ya ukweli
   
 14. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Network busy..!
   
 15. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Wewee humjui JCB vizuri ana nyimbo nyingi saana kaanza hip hop since 1994 na walitoa albamu moja na kundi lao la hard core, huo wimbo ukisikia paah unaousikia ni remix orijino aliuimba 2007 katika albamu ya full ile laana mixtape vol 3. JCB ni miongoni mwa wasanii walioathirika na mchezo mchafu wa media za bongo. Hebu fuatilia nyimbo zake na za watengwa utamjua vizuri
   
 16. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  ila kwa sasa maunderground wa chuga wamekuwa wangese sana chalasi, ganja na konyagi pori ndo wamefanya mpango mzima na hawataweza kuinuka mfano ni jambo squad, nako 2 beto, junior nako, wakudis, halisi, vatolocco wote ni wahuni hamna hip hop wanafanya JCB kuwaponda ni sawa tu hawana lolote
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Jan 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu Pukudu! nakubaliana sana na maelezo yako kuhusu JCB, Ni kweli JCB alikuwa noma!!! ila sijui kama umeshtukia siku za hivi karibuni toka apewe zile tuzo na CLOUDS FM(Kwa kujipendekeza na kuwa-diss machizi wa ukweli). Amekuwa akijitenga na harakati zozote zinazoanzishwa dhidi ya wanyonyaji wasanii...ikiwemo kuwa-diss na kuwaletea maringo machizi zake wa kitambo! akiwemo Spark Dog. Kama umesikiliza track zake za hivi karibuni kiwango chake kimeshuka sana! nadhani hili tatizo haliko kwake tu! liko kwa washkaji wengi wa bongo pindi wakipata mafanikio kidogo.
  JCB kwa sasa ameolewa na demu wa kizungu kama ilivyo ada ya wasanii wengi wa hapa Arusha,,e.g Zigla na Gson wa Xplastaz, chindoman na wengineo!! Chindoman kabla ya kwenda US alimwachia JCB studio na Crew YA WATENGWA ikiwa juu hapa Arusha..lakini kutokana na Tabia za JCB kundi la WATENGWA sasa limegawanyika vipande..wengine wakibaki WaTENGWA na Wengine Wakijulikana kama MAJERUHI CREW!...
   
 18. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,650
  Likes Received: 3,299
  Trophy Points: 280
  Kwekwekwekweee. Kwa hiyo unatulazimisha tumtambue jcb rasmi kama superstar?kwikwikwikwi. Kuanzia lini au mara tu baada ya kusoma post yako? Nyooo achilia mbali SS bado hajafiti kuitwa supercandle
   
 19. Mmasihiya

  Mmasihiya JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  JCB kiukweli bado underground, hivi nani kukiwa na show ya JCB peke yake ukumbini tena mkoa tofauti na Arusha anaweza kulipia kiingilio? Naweza kufanya hivyo kwa Fid Q, Prof J, Roma n.k lakini kwa JCB NO' labda awe msindikizaji show ya msanii mwingine.
   
 20. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Njoo Viavia au Masai camp chuga uone anavyopagawisha tena raia wa kigeni ndo Huwa wengi nyie ndo wale mnaipenda Hip Hop afu HipHop haiwapendi
   
Loading...