JB Belmont Hotel nini kimetokea?

JB Belmont Hotel nini kimetokea?

Kwenye biashara ndio utajua tofauti kubwa kati ya mhindi na mwafrika,wakati wahindi bado wanendesha biashara zilizoanzishwa na mababu zao sisi waafrika tunashindwa kuendesha biashara zilizoanzishwa na baba zetu,kwani wakifa tu biashara ya mjukuu wa kihindi itaendelea na kukua mara dufu lakini akifa baba wa kiafrika basi biashara ndio kwishney ,nadhani umnifahamu nilivyoandika babu wa kihindi na baba wa kiafrika
 
Kama uliweza kuona mabango yameondolewa na ofisi zao unazijua kwanini hukupitia hapo kupata jibu sahihi? Unajua acha kuwa mvivu wa kuutafuta ukweli
Yeye ndo anaishia ivyo ivyo kuona na kusoma mabango tu hata kikombe cha kahawa ajawahi kuwaungisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom