Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Msanii wa kitambo kunako gemu la bongo fleva anawashangaa sana wasanii wa kizazi hiki wanaotumia madawa ya kulevya na kuwaita wajinga na washamba sana
Amesema wao ndio walitakiwa kutumia madawa ya kulevya kutokana na stress za kazi walizokuwa wakikutana nazo kwa kuwa walikuwa wanafanya kazi nzzuri na kulikuwa hakuna hela hivyo kuwapa msaongo, lakini sasa hivi mziki umekuwa na fedha na fursa nyingi badala ya kufurahi