Mundele, wakati Mike Jordan alipokua kua Juu katika Kikapu kule USA, alibatizwa jina Mike "AIR" Jordan, wakati huohuo Nike ikaingia mkataba na Chicago Bulls, katika hali isiyotegemewa wakatengeneza Raba zilizoongezwa neno Nike Air, kwa ajili yake, kwa taarifa yako, amekua akila bingo ya mamilioni ya pesa kwa Nike kutumika neno air, na ukumbuke jina hilo ni jina la utani. futa mawazo ya kutumia majina bandia ya watu , yatokanayo na ubunifu wao, utalipa pesa mingi. http://en.wikipedia.org/wiki/Michael_Jordan
Ziko za majina anuwai hizo piki piki. Mfano, zilizopo mitaani Tanzania kwa sasa ni, Kiboko, Chuma, Mkombozi, Kifaru, Jinyee, Toyo n.k. Hizi zote zinapatikana Kariakoo ambako ndizo zilipo "Assembling Plants" nyingi za pikipiki za Wachina.
Kwani hata kule kunako geshi la nchi hiii. Kure kira mutu ni mwanageshi walikataa kutoa nauli kwa rire rigari rimeandikwa TATA! Kisa ni Rigari ra TATA inakuwaje walipishwe nauli?