Kumradhi labda macho yangu hao wa nyuma sidhan kama wana mpango wa ndoa leo ...mmh macho yao tu
jamani huyu si alishaoaga mwanzoni...ile ndoa ilikufilia wapi??na wakristo kuna kuachana ???
Camel you are outdated! hujui nini maana ya kuzaa ndiyo maana unababwaja. Nini maana ya Ndoa kwa ufahamu wa haraka? Hata wewe tukimsema hayakuhusu.
hivi nyie mnaokerwa na Jide kutozaa inawahusu nini? mbona mnawapangia watu maisha yao? mnajua shida gani aliyonayo? je kama ana matatizo ya kiafya? je kama anahitaji kuishi maisha yake bila watoto? je kama lengo lake ni kuhakikisha anafanya kazi na kupata pesa ya kusupport watoto wengi wa mtaani ambao nyie mnaopenda kuzaa mmewatelekeza? acheni hizo, ishini maisha yenu. nani kasema watoto ni priority kwa kila mtu?
Camel you are outdated! hujui nini maana ya kuzaa ndiyo maana unababwaja. Nini maana ya Ndoa kwa ufahamu wa haraka? Hata wewe tukimsema hayakuhusu.
wewe ndie uko outdated,wacha kufatilia yasokuhusu kama umezaa kimpango wako,kinakuuma jide kutokuzaa kwani mkweo yule.???...either amechoose kutokuzaa ama bahati mbaya hana uwezo huo,bado hayakuhusu mama weee....
ni kwelizero kwako kwa mumewe kifaa,hakuna hata siku binadamu mkatoa japo sifa ni ku diss tu kilakitu.