Javascript For Beginner In Swahili

Mambo ya Networking , hongera.
 
tungeni programming language yenu ya kiswahili hivi mfano neno selector utaliitaji
Programning language sio k2 kidogo, kwanza unaitaji compiler, Kisha language husika, hivyo vyote vina chukua Muda na elimu yakutosha.
 
wewe upo kinyume na mimi, mimi kwenye programmiong utaoba poo ila networking hapana.
 
Huu uzi tuupe nguvu, programmers, developers,l na watu wa networking tukutane hapa kwa msaada na ushauri kuhusu hii field yetu. Ili tukue tunahitaji kusaidiana.
hapo uwesema kweri, sio javascript tuu kuna watu wanajua language tofauti tofauti lakini wanashindwa kuonesha ujuzi wao kwasababu ya kukatishwa tamaa, wakati hivyo vitu vipo na vinapita, kwaiyo karibuni kutoa maoni kuonesha ujuzi wenu huku mimi nikiendelea kukihariri hiki kitabu. na kikitoka kutakua na advanced knowledge kwaajiri ya hiki kitabu jinsi ya kutengeneza customs things n.k.
 
Mimi hayo yote uliyoyataja sijui hata moja. Mambo yangu ni C++, Octave/ Matlab na Python. Interested zaidi na MACHINE LEARNING na ARTIFICIAL INTELLIGENCE
Machine learning na artificial intelligence field nzima zote hizo au
 
Fanya mambo utuletee iyo nakala
 
Mkuu umeuliza maswali mazuri na yenye hoja. Lakini mimi nina mtazamo tofauti kidogo na wa kwako. Nafikiri huo ndio mwanzo mzuri wa kuandaa library, language constructs, API na documentation za JavaScript kwa lugha ya kiswahili kama ilivyo kwa kichina, kijerumani, kijapani, n.k. Tuanzie hapa kisha tuende hatua nyingine. Anaweza kuhamasisha developers kutengeneza JavaScript engine (interpreter) ya lugha ya kiswahili ikatumika kwa browser mbalimbali. Mwanzo mzuri tumtie moyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…