JATU ni Mr Kuku mwingine, ni swala la muda tu

kama wanafundisha waseme kuwa hili ni darasa kwahyo watu walipe ada

Nakumbuka walisema ni darasa na unatakiwa ulipie fee!

Ushawahi kuona wapi unasoma shule afu mitihani anakufanyia mwalimu we kazi yako kutoa ada na kusubiri matokeo?
Swala sio mtihani wala majibu, swala ni kwamba mtu anatumia muda wake na lazima ujue time is money! Sasa wewe unataka ufundishwe bure duuh!
 
Duu nilishafanya nao mchakato nijiunge na jatu wamenambia ada ni 30,000 ndo nlkuwa najipanga niingie,wanasema wanatoa mikopo isiyo na riba afu uwe active member,at least everythree months uwe unanunua bidhaa zao.

Wanakupa mchanganuo wa gharama za kulima zao fulani kisha Wanakutafutia shamba, wanakulimia(vibarua+madawa/mbolea), wanakuhifadhia wanakutafutia soko then utalipwa kutokana na bei ya soko la zao husika
Ahahah dah! Maisha yangekuwa rahisi hivyo tusingehangaika na kama tunavyohangaika sasa
 
nyie ndio mnapenda vya buree kudadeki zenu mtalamba joker

Mmepigwa na ontario
Mmepigwa na mr kuku
Soon
Mnapigwa na hao jatu
Mtapata akili
Nikusahihishe tu huyu uliemjibu hawezi "kupigwa" na Ontario. Sababu kila uzi au comment ONTARIO akisemwa vibaya lazima jamaa aingie amtetee. Wanahusianaje hapo sielewi.

Mengine endeleeni wenyewe
 
Duu nilishafanya nao mchakato nijiunge na jatu wamenambia ada ni 30,000 ndo nlkuwa najipanga niingie,wanasema wanatoa mikopo isiyo na riba afu uwe active member,at least everythree months uwe unanunua bidhaa zao.

Wanakupa mchanganuo wa gharama za kulima zao fulani kisha Wanakutafutia shamba, wanakulimia(vibarua+madawa/mbolea), wanakuhifadhia wanakutafutia soko then utalipwa kutokana na bei ya soko la zao husika
Hebu niunganishe nao mimi fasta mkuu. Nina sababu mbili za kujiunga nao haraka
1. Kwenye mifumo ya aina hiyo ya upigaji kama ya upatu vile kama ilivyokuwa DECI wewe wekeza haraka haraka mapema kabisa mwanzo mwanzo. Tena weka hela ndefu ndefu,vuna vuna fasta fasta halafu shtuka kaa pembeni na pesa yako ndefu uliyovuna mara 3 mpaka 4 ya mtaji wako
2. Ukiwa muoga kila wakati huwezi kufanikiwa. Risk takers mara zote ndio zinazotusua
 
Nikusahihishe tu huyu uliemjibu hawezi "kupigwa" na Ontario. Sababu kila uzi au comment ONTARIO akisemwa vibaya lazima jamaa aingie amtetee. Wanahusianaje hapo sielewi.

Mengine endeleeni wenyewe
Kwanini nawewe kila suala linalohusu Ontario unapondea ??
 
Hebu niunganishe nao mimi fasta mkuu. Nina sababu mbili za kujiunga nao haraka
1. Kwenye mifumo ya aina hiyo ya upigaji kama ya upatu vile kama ilivyokuwa DECI wewe wekeza haraka haraka mapema kabisa mwanzo mwanzo. Tena weka hela ndefu ndefu,vuna vuna fasta fasta halafu shtuka kaa pembeni na pesa yako ndefu uliyovuna mara 3 mpaka 4 ya mtaji wako
2. Ukiwa muoga kila wakati huwezi kufanikiwa. Risk takers mara zote ndio zinazotusua
Utajuaje wewe ni wa mwanzo mwanzo?
 
Back
Top Bottom