Chaukarange
Member
- Apr 19, 2020
- 63
- 167
Vipi boss JATU wanaendeleaje!?Kampuni yoyote kabla ya kuwa listed lazima itambulike na CMSA kwa kufuata taratibu zote
Lazima kampuni ile itambulike na DSE,
kuna baadhi ya vigezo ambavyo JATU ilipitia wakati wa mchakato wa listing tena kwenye EGM ( enterorise Growth market)
1.issued na paid capital ni lazima iwe 200 million
2.working capital lazima iwe ya zaidi ya miezi 12
3. incorporation status lazima iwe active- imesajiliwa brela na ina vibali vyote
4. kuwe na 5 years Business Plan na independent technical feasibility
5. Period moratorium ni 3 years
6. Financial statement lazima ziwe IFRS compliant
7. certificate of comfort - hii inatoka kwenye regulating institution ,zitakazosema JATU anafanya biashara halali
8. Composition of board of directors - hapa lazima kuwe na Non executive directors
9. clear dividend policy - Policy ya maswala ya mgao kila mwaka
10.Publication in the press
Suspension ya JATU ni kupisha IPO inayofanyika mwezi mzima HUu, then kuna mshamba anakuwekea tu suspension bila kuelewa ni nini.
Hapa kuna watu hawaelewi hata Business plan za JATU ndo maana wanahisi wanalimiwa tu. hawa huwa wanaangalia mnyororo wa kilimo
na hata pesa wanayokusanya ambayo ni hisa 15,00,000 kila hisa moja ni tsh 500 . kufikia thamani ya 7.5 Billion Tzs ni kufanya upanuzi kwenye viwanda vyao.
kuna kiwanda cha unga kibaigwa dodoma
kiwanda cha kuchakata mpunga mbingu, kilombero morogoro
kiwanda cha kilindi - tanga kwa ajili ya maharage
View attachment 1813731
wana JATU MARKET Jatu Market - Apps on Google Play
app ambayo wanauza bidhaa zao zote wanazotengeneza, lakini huwa wanasupply kwa maduka ya jumla (distribution chain)
ukiangalia kwenye mnyororo wa thamani, wanatap kuanzia shambani mpaka kwa mlaji
View attachment 1813730
Bado kuna bwege huko Juu anaandika kwamba JATU ni MR.KUKU! no research no right to speak. acheni kutaka kukandamiza kampuni za watanzania wenzenu! How is this a pryamid scheme? njoo tupigane spana kwa hoja sio Umbeya.
PFA : JATU PROSPECTUS , JATU FINANCIALS FOR 3 YEARS