Bora ungekaa kimyaKampuni yoyote kabla ya kuwa listed lazima itambulike na CMSA kwa kufuata taratibu zote
Lazima kampuni ile itambulike na DSE,
kuna baadhi ya vigezo ambavyo JATU ilipitia wakati wa mchakato wa listing tena kwenye EGM ( enterorise Growth market)
1.issued na paid capital ni lazima iwe 200 million
2.working capital lazima iwe ya zaidi ya miezi 12
3. incorporation status lazima iwe active- imesajiliwa brela na ina vibali vyote
4. kuwe na 5 years Business Plan na independent technical feasibility
5. Period moratorium ni 3 years
6. Financial statement lazima ziwe IFRS compliant
7. certificate of comfort - hii inatoka kwenye regulating institution ,zitakazosema JATU anafanya biashara halali
8. Composition of board of directors - hapa lazima kuwe na Non executive directors
9. clear dividend policy - Policy ya maswala ya mgao kila mwaka
10.Publication in the press
Suspension ya JATU ni kupisha IPO inayofanyika mwezi mzima HUu, then kuna mshamba anakuwekea tu suspension bila kuelewa ni nini.
Hapa kuna watu hawaelewi hata Business plan za JATU ndo maana wanahisi wanalimiwa tu. hawa huwa wanaangalia mnyororo wa kilimo
na hata pesa wanayokusanya ambayo ni hisa 15,00,000 kila hisa moja ni tsh 500 . kufikia thamani ya 7.5 Billion Tzs ni kufanya upanuzi kwenye viwanda vyao.
kuna kiwanda cha unga kibaigwa dodoma
kiwanda cha kuchakata mpunga mbingu, kilombero morogoro
kiwanda cha kilindi - tanga kwa ajili ya maharage
View attachment 1813731
wana JATU MARKET Jatu Market - Apps on Google Play
app ambayo wanauza bidhaa zao zote wanazotengeneza, lakini huwa wanasupply kwa maduka ya jumla (distribution chain)
ukiangalia kwenye mnyororo wa thamani, wanatap kuanzia shambani mpaka kwa mlaji
View attachment 1813730
Bado kuna bwege huko Juu anaandika kwamba JATU ni MR.KUKU! no research no right to speak. acheni kutaka kukandamiza kampuni za watanzania wenzenu! How is this a pryamid scheme? njoo tupigane spana kwa hoja sio Umbeya.
PFA : JATU PROSPECTUS , JATU FINANCIALS FOR 3 YEARS
Wale waleKampuni yoyote kabla ya kuwa listed lazima itambulike na CMSA kwa kufuata taratibu zote

Utafutiwe na kazikama wanafundisha waseme kuwa hili ni darasa kwahyo watu walipe ada
Ushawahi kuona wapi unasoma shule afu mitihani anakufanyia mwalimu we kazi yako kutoa ada na kusubiri matokeo?
Wanajamvi mpeni muongozo.Kampuni yoyote kabla ya kuwa listed lazima itambulike na CMSA kwa kufuata taratibu zote
Lazima kampuni ile itambulike na DSE,
kuna baadhi ya vigezo ambavyo JATU ilipitia wakati wa mchakato wa listing tena kwenye EGM ( enterorise Growth market)
1.issued na paid capital ni lazima iwe 200 million
2.working capital lazima iwe ya zaidi ya miezi 12
3. incorporation status lazima iwe active- imesajiliwa brela na ina vibali vyote
4. kuwe na 5 years Business Plan na independent technical feasibility
5. Period moratorium ni 3 years
6. Financial statement lazima ziwe IFRS compliant
7. certificate of comfort - hii inatoka kwenye regulating institution ,zitakazosema JATU anafanya biashara halali
8. Composition of board of directors - hapa lazima kuwe na Non executive directors
9. clear dividend policy - Policy ya maswala ya mgao kila mwaka
10.Publication in the press
Suspension ya JATU ni kupisha IPO inayofanyika mwezi mzima HUu, then kuna mshamba anakuwekea tu suspension bila kuelewa ni nini.
Hapa kuna watu hawaelewi hata Business plan za JATU ndo maana wanahisi wanalimiwa tu. hawa huwa wanaangalia mnyororo wa kilimo
na hata pesa wanayokusanya ambayo ni hisa 15,00,000 kila hisa moja ni tsh 500 . kufikia thamani ya 7.5 Billion Tzs ni kufanya upanuzi kwenye viwanda vyao.
kuna kiwanda cha unga kibaigwa dodoma
kiwanda cha kuchakata mpunga mbingu, kilombero morogoro
kiwanda cha kilindi - tanga kwa ajili ya maharage
View attachment 1813731
wana JATU MARKET Jatu Market - Apps on Google Play
app ambayo wanauza bidhaa zao zote wanazotengeneza, lakini huwa wanasupply kwa maduka ya jumla (distribution chain)
ukiangalia kwenye mnyororo wa thamani, wanatap kuanzia shambani mpaka kwa mlaji
View attachment 1813730
Bado kuna bwege huko Juu anaandika kwamba JATU ni MR.KUKU! no research no right to speak. acheni kutaka kukandamiza kampuni za watanzania wenzenu! How is this a pryamid scheme? njoo tupigane spana kwa hoja sio Umbeya.
PFA : JATU PROSPECTUS , JATU FINANCIALS FOR 3 YEARS
Kila la kheri mkuu.Ndo tatizo la kuwa na uelewa mdogo..... kama mnayosema ni kweli basi DSE ni matapeli, na Capital Makets and securities Authority cmsa ni matapeli. kuna auditinf firms humo ndani na wao ni matapeli, kuna nomad ( Nominated Advisor) nae ni Tapeli.
stupidity
/stʃʊˈpɪdɪti,stʃuːˈpɪdɪti,stjʊˈpɪdɪti,stjuːˈpɪdɪti/
Learn to pronounce
noun
behaviour that shows a lack of good sense or judgement.
Wengi tuko huku pembeni na stupidity zetu, mfano tulinunua mahisa ya Precisionair, mwaka wa 10, loss no dividends, na mahisa hayauziki. Ile hela tumewahonga wanaume wenzetu. CMSA DSE wapo!Kila la kheri mkuu.
Siku nyingine usijibizane na Stupid
Poleni sana wakuu.Wengi tuko huku pembeni na stupidity zetu, mfano tulinunua mahisa ya Precisionair, mwaka wa 10, loss no dividends, na mahisa hayauziki. Ile hela tumewahonga wanaume wenzetu. CMSA DSE wapo!
Everyday is Saturday...............................
Mimi nawaelewa sana kwasababu biashara yenu ni tangible na inaonekana.Ndo tatizo la kuwa na uelewa mdogo..... kama mnayosema ni kweli basi DSE ni matapeli, na Capital Makets and securities Authority cmsa ni matapeli. kuna auditinf firms humo ndani na wao ni matapeli, kuna nomad ( Nominated Advisor) nae ni Tapeli.
stupidity
/stʃʊˈpɪdɪti,stʃuːˈpɪdɪti,stjʊˈpɪdɪti,stjuːˈpɪdɪti/
Learn to pronounce
noun
behaviour that shows a lack of good sense or judgement.
Network marketing kama hii hii ya Qnet na FOREVER??Mimi nawaelewa sana kwasababu biashara yenu ni tangible na inaonekana.
Tatizo langu siiamini kabisa business model mnayotumia ( Networking ).
Unless mtakuja kubuni aina nyingine, network marketing business model does'nt work in the long run.
Bidhaa zao ( Mazao ya chakula ) wanayauza kwa mfumo huo.Network marketing kama hii hii ya Qnet na FOREVER??
Basi sawa! Wanufaika ni rahisi kuwafahamu
Everyday is Saturday...............................
Asante, hivi vitu ukivisoma SANA, utakuja kugundua ni kama FOREX kuna mambo ya insider info, tusione watu wanatembelea range rover sports, kwa kuwa wana vikundi vya kibinafsi ndani yake. Wanufaika.Poleni sana wakuu.
Ndio maana nimesema hawa wanatumia akili sana, wanaweka mipango ambayo inachukua wakija kufanikiwa ni kulipua Bomu ndani ya sekunde na kuleta madhara makubwa.Asante, hivi vitu ukivisoma SANA, utakuja kugundua ni kama FOREX kuna mambo ya insider info, tusione watu wanatembelea range rover sports, kwa kuwa wana vikundi vya kibinafsi ndani yake. Wanufaika.
Ukiangalia hisa za NMB inayotengeneza faida haziuziki, ila ghafla mfano jana zimeuzwa za thamani ya 1.4Bn.
Everyday is Saturday............................
ndo zinauzwa 500 siyo?Huko DSE tayari kuna notice nimeona website yao, suspension ya mauzo ya hisa za JATU.
Tuendelee kutizama, watatangaza faida kwenye financial statements zao.
Everyday is Saturday...............................
Walianzia 500 kuna siku zilikuwa DSE zinauzwa mpaka zaidi ya 1200, bei iliyokomea juzi kati.ndo zinauzwa 500 siyo?
Kuna mtu anajiita JATU na yeye ana model kama ya Mr kuku, ile ya kwamba toa pesa ulimiwe na uvuniwe.
Huyu JATU kawavuta watu wengi sana mara mashamba Kitetto mara Morogoro.
Model anayo tumia ni ya upatu ni Pyramid ambapo watu wa mwanzo hufaidika ili kuvuta watu wa mwesho ambao huja kuwa victim.
Hawa watu huwa kujitangaza sana ndo jadi yao, kufanya mikutano kwenye hoteli kubwa kubwa ndo jadi yao ila zote hizo huwa ni mbinu za kuvuta watu waingie wapigwe pesa.
Kama JATU anaona kilimo kinalipa kwa nini asiingie akalima pekee akapiga pesa? Kwa nini asichukue mkopo alime huko kiteto apige pesa? Mbona Summury analima pekee yake huko kwao Sumbawanga?
Watu wawe makini na hizi Pyramidi za kwamba toa pesa ulimiwe. Kwa nini asilime yeye?
Mboma MO hawaiti watu wakalime katani huko Tanga? au mbona Interchick hawaambii watu waende wafuge wote kuku?
Jamani tujizidishe Watanzania tunapigwa kirahisi sana.
Huwezi list kampuni pale DSE bila kutimiza vigezo.Hawa jamaa mwanzoni walianza taratibu pasipo kujitangaza kivile, ila sasa naona sijui taasisi yao imeimarika au ndio fursa kwao zimeongezeka...
Anyway wakati mwingine ili ufanikiwe unatakiwa uingie kwenye calculated risks...
Weka mpunga kidogo, sikilizia or else achana nao kalime mwenyewe vitunguu Ruaha au Singida huko
Mkuu hao wapiga soga achana nao heb tupe maelezo ya namna ya kufaidika na hisa za hii kampuni kma nikitaka kuwa mwanahisa....hz kelele achana nazo humu tupo watu wa aina tofauti,kila mtu anawaza kivyake na kila mtu anakula kwake,hapa tumekutana tu....lete vitu mkuu!!Kampuni yoyote kabla ya kuwa listed lazima itambulike na CMSA kwa kufuata taratibu zote