Huu mti unapatikana sehemu nyingi TZ, hasa makaburini kwani unaweza kupanda hata kitawi kinaota. Nakumbuka tulikuwa tunatumia mafuta yake kama mafuta ya kuwasha taa, tatizo moshi wake ni mzito sana kama wa diesel.
Hii miti inaweza kukuwa Pwani? Dar, au Tanga au Pwani Mkoa, au Lindi or Mtwara?
Hii miti inaweza kukuwa Pwani? Dar, au Tanga au Pwani Mkoa, au Lindi or Mtwara?
wawekezaji wa bioshape walijaribu kuipanda huko kilwa, lindi - jaribu kuwa-google utapata ripoti nyingi tu kuhusu kilichotokea!
Kwetu njombe tunaita mipono ponoGoogle neno MIBONO au MIBONO KABURI, ndio majina ya JATROPHA yanayotumika TZ