Jamani hvi naeza kutumia kitu gani kinachoweza kupunguza kutoka jasho la kwapa?coz nina tatizo hili japo jasho lenyewe halitoi harufu,,na hali hii haijalishi niko kwenye joto ama sehemu ya barid jasho linatoka tu...plz anaejua juzane nn cha kufanya.
mkali tafuta driclor afu utani-update!iseaech na google kwanza uisome