Tanzania haiwezi kuwa isolated na jumia ya kimataifa. Tusipochukua hatua za haraka we will be another VenezuelaNo need.
Waache wajililie tu.
Wamezoea kutumia kisingizia cha human right na democracy kuvuruga viongozi wazuri wa nchi wanazozinyonya.
Tukizubaa tutakuwa kama Congo....sasa chagua kati ya CONGO AU VENEZUELA UONE KIPI KINAKUFAA...Tanzania haiwezi kuwa isolated na jumia ya kimataifa. Tusipochukua hatua za haraka we will be another Venezuela
Tunataka Tanzania tajiri yenye demokrasia.
Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.
Correct! Leo hii wanasema nini juu ya ubora wa Libya? Miaka yote hawakusema neno juu ya Misri na Mubarak wao! Hata hivyo tunajadili taarifa ya mtu binafsi kwenye jarida.No need.
Waache wajililie tu.
Wamezoea kutumia kisingizia cha human right na democracy kuvuruga viongozi wazuri wa nchi wanazozinyonya.
Si kweli kuna siku moja moja hata kichaa huwa anasema ukweli, tuendelee kujifariji uchumi unapaa.Mkuu. Wenye akili tunajua wakati mzuri wa kujiangalia ni pale unapowaona "wakikusifia na kukumbatiakumbatia"
Ukiona wanaanza kulialia ujue uko kwenye right track (We songa mbele!)
Whatever, tujiulize, kuna ukweli, basi kama hakuna ukweli, tupuuze, kama kuna ukweli tutafakari mustakabali wetu na historia yetu.Vita ya makinikia hii...2 days two articles ...naona hadi article ya kesho wameitoa leo.
Hapa ndipo jaribio la uhuru wa kweli wa nchi lilipo!!
Upo sahihi. Sidhani kama wanatupenda sana kuwa watupiganie. Lakini Tanzania bado hatuwezi kuishi kama kisiwa au tukajitegemea kwa asilimia mia. Tunatakiwa kutumia akili zaidi na la muhimu kabisa ni kuhakikisha ndani ya nchi hakuna unyanyasaji au mgawanyiko ili tuwe kitu kimoja. Na hii ni moja ya kazi kubwa ya raisi. Kipindi kama hichi cha chokochoko kutoka nje anatakiwa kuhakikisha kuwa hakuna mambo ya uvyama. Na hapa akili kubwa ndo inahitajika na si kitu kingine chochote.Duuh hawa jamaa ndio wanaochochea maandamano na vurugu, wanataka kuvuruga amani yetu, tuwapuuze na tumuunge mkono Rais wetu mpendwa JPM
jingalao cocochanel
Kama North Korea na Venezuela wamezipigia magoti hizi western countries sembuse Tanzania. Tuambieni ukweli Rais Magufuli yupo njia sahihi lakini suala la demokrasia na human rights aziangalie kwa umakini. Kwenye masuala ya taifa tusiangalie uccm ama uchadema kwani vikwazo vya kiuchumi havijui chamaTupe source ya hii taarifa then tuanzie hapo. Besides that mnapaswa muelewe wazungu tumewashika pabaya...kilichobaki ni kutaka kutuvuruga kupitia machagadema. Mungu yupo upande wetu na kamwe hatuvurugiki. Tunazo taarifa za vikao vyao na tundu lisu huko ubelgiji....hahaha endeleeni kujitekenya tu. Mbona hawaongelei demokrasia ya China?
Hapana mzungu yeye huwa namtegemea kujazia bajeti yangu tu usahihi wa mambo huwa nategemea mchina aniambie.Unategemea mzungu ndio akupe usahihi wa mambo?
Naona hujasoma vizuri au kuelewa kilichandikwa hapo kwenye hilo gazeti na pia hujatulia na kumuelewa Mayala kwanini kaileta hii mada iliopo kwenye hilo gazeti, kwa kifupi hakuna uongo hata moja hapo, tunachotakiwa ni serikali yetu ijitafakari na kuona wapi wanakosea, tukiendele kushabikia upuuzi basi ndio ndio tutazidi kupotea. Sio mtu unajiita mzalendo halafu unaona taifa linadidimia unashindwa hata kukemea, unabakia kuwa mshabiki tu.Pascal Mayalla Haya Mataifa hayawezi kuunga mkono juhudi za Mh. Rais, hasa pale ambapo tunaanza kufanikiwa katika kuwabana wanyonyaji wa maliasili zetu. Watakuja na kila aina ya propaganda, na watatumia vyombo na taasisi zao kutuchafua. Mambo ya aina hii yamekua yakitokea sio tu kwa Tanzania, tumeona propaganda za namna hii zikienezwa kwa nchi nyingine zilizokataa unyonyaji wa mataifa ya maghalibi na zilizoamua kusimamia usawa katika kusimamia maliasili za nchi.
Sisi watanzania hatupaswi kurudishwa nyuma na propaganda dhaifu kama hizi, inafaa tusimame kwa pamoja, tumuunge mkono Mh. Rais wetu, na tuendelee mbele. Tanzania ki uhalisia tulihitaji kiongozi wa kaliba ya Mh. Magufuli, sasa tumempata tumtumie katika kipindi hiki cha miaka 10 na tutafikia pazuri.
jamii gani imetuisolate? na kwa sababu zipi? za uchumi kudorora?Tanzania haiwezi kuwa isolated na jumia ya kimataifa. Tusipochukua hatua za haraka we will be another Venezuela
No need.
Waache wajililie tu.
Wamezoea kutumia kisingizia cha human right na democracy kuvuruga viongozi wazuri wa nchi wanazozinyonya.
TANZANIA ina uwezo wa kuwashika pabaya wazungu?Inaonekana wazungu wameshikwa pabaya sana