Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,471
- 40,832
Hahaha yani mkuu we acha unakutana na bush partnilikuwa napenda sana zile matizi wanapiga bush stars na born town..
hahahah
Kuna siku alipata bonge la demu kufikanae nyumbani demu akashindwa kupita mlangoni kwa sababu ya unene.Pimbi kila akipata pisikali dakika za majeruhi anamponyoka anakosa papuchi.
Haha haha mi Professor Ndumilakuwili nlikua najua anaishi viunga vya Mwananyamala kwa Mama ZakariaUjanja wangu wote nilikua najua MADENGE Anaishi Dar.
Amesababisha watu tuitwe harakati za PimbiPimbi kila akipata pisikali dakika za majeruhi anamponyoka anakosa papuchi.
😄😄😄 Harakati za Pimbi.Kuna siku alipata bonge la demu kufikanae nyumbani demu akashindwa kupita mlangoni kwa sababu ya unene.
Duuh! Mapungo "The Goden Boy" yule mwamba akiwa Mabush Stars.nilikuwa napenda sana zile matizi wanapiga bush stars na born town..
hahahah
Itakuwa ulikuwa wa mkoani, tuliokuwa dar kipindi hicho tulikuwa tunajua madenge na wenzie wanaishi tabora hukoUjanja wangu wote nilikua najua MADENGE Anaishi Dar.
😄😄Yeye alikuwa mtu wa kufeli tu. Madili yake yote yalikuwa yanabuma.Amesababisha watu tuitwe harakati za Pimbi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Itakuwa ulikuwa wa mkoani, tuliokuwa dar kipindi hicho tulikuwa tunajua madenge na wenzie wanaishi tabora huko
Bongo na tabasamu yalikuja mwishoni kabisa,Kweli wakati ni kama upepo
Jarida la BONGO ndio liliku jarida langu pendwa lilinifanya nijue kusoma na kuchora😂😂
Sana mkuu toleo la mwaka 1986 hiloMagazeti ya zamani kidogo yalikuaga na katuni
Unakuta saa nyingine ukurasa mzima katuni
Sasa hiv hiyo kitu imepotea
Prof NdumilakuwiliKweli wakati ni kama upepo
Jarida la BONGO ndio liliku jarida langu pendwa lilinifanya nijue kusoma na kuchora[emoji23][emoji23]
bongo walikuwa wanajua kuchora madem wenye figa matata kabisaBongo na tabasamu yalikuja mwishoni kabisa,