Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,577
113,775
Wanabodi,

Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 
Wanasiasa hawana kawaida ya kumsikiliza YEYE anaposema nao. Na siyo rahisi, hata wakisikia sauti, kujua kuwa ni YEYE anayesema nao. Na mtu kama wewe Pascal hawewezi kukusikiliza kwa sababu haumo kwenye "inner circle" zao!
Kwa kusikiliza tu hivi vilio, kwa mtu asikiaye sauti toka KWAKE, inatosha kabisa kukuambia 'siyo wewe'.
Anyway, Happy birthday Rais Samia!
 
Kujipendekeza kwa wafalme wa dunia hii ambao kamwe hawataweza kuleta Amani wala kuondoa umaskini tunaheshimu tu tawala ila hatuzishobokei kihivyo maana zote zinapingana na mtawala wa kweli wa dunia yaani mwalimu aside na kifani naye niyesu kristo Hawa wengine fake tu kazi kujiinua na kutaka kuonyesha nguvu kwa kukandamiza wengine
 
Pasco umeota unakata moto nini? Mbona unashusha mada mfululizo kulikoni?
Kuna baadhi ya mada huwa naziandika mimi kama mimi, na kuna mada huwa nakuwa inspired kuandika, zile mada za Voices from within, huwa naambiwa na usually huamka usiku mkubwa, usingizi unakata, unaisikia sauti, unaandika, mfano mada HII sio mimi ni sauti, hivyo ukiona mada yangu imepanda usiku mkubwa, ujue sio mimi ni sauti ya ndani yangu!.

Ila pia kwa maana hamjui siku wala saa!, huwezi jua!.
P
 

Usizingushe sana, mwambie aachie mchakato wa katiba mpya sasa, maana baada ya 2025 hatakuwa kwenye kiti.
 
Nilidhani Pascal Mayalla hatunae tena ktk uso wa dunia hii. Kila post leo Jf ni yake.
Allah akujaalie haki uifate na Batali uiache. Aaaamin
 
Mkuu paskali najua hutaki uteuzi ila kwa mfano ukiteuliwa uwe msemaji wa ikulu au wa serikalii hapo vipi!?
 
Umri wa miaka 65 kwa mwanamke wa Kiafrika hauhitaji majukumu makubwa na mazito ya kuyafanya, pamoja na kuyatolea maamuzi ya mwisho, ama mikikimikiki mingi iendanayo na masuala ya kiutawala. Umri wa Boss Lady wa kuelekea na hadi kufikia miaka 70, kwa vyovyote vile kutaifanya nchi iwe katika " auto pilot mode".

Changamoto zitakuwa nyingi sana, na hatoweza tena kufanya maamuzi magumu. Kwa umri huu wa uzee, utaigeuza nchi kuwa shamba la bibi. Nakubaliana na wote wale ambao wanatoa ushauri kuwa Rais wetu anapaswa kutundika daluga kutokana ugumu wa ligi, na mechi iliyopo mbele yake.
 
Linalowezekana leo lisingoje kesho. Walau afanye minimal reforms kwenye katiba na mabadiliko ya kweli ya sheria za uchaguzi.

Kwenye maisha ni rahisi kujisahau na kudhani unao muda mwingi, the illusion of continuity. But one day, all of a sudden things come to an end.

DO IT TODAY, YOU NEVER KNOW WHAT TOMORROW BRINGS.

HBD mheshimiwa.
 
Mkuu paskali najua hutaki uteuzi ila kwa mfano ukiteuliwa uwe msemaji wa ikulu au wa serikalii hapo vipi!?
Mwandishi wa kujitegemea anaandika kile anachotaka, anasema kile anachojipangia kusema, ukiwa muajiriwa utasema kile unachotumwa kusema na bosi wako.

Naamini kabisa hiki mimi ninachokifanya sasa
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=lPCdJ-qIK6LnWEtd kina maslahi makubwa zaidi kwa taifa kuliko hata ningeteuliwa nafasi yoyote, unless labda kama ni kuteuliwa nafasi za maamuzi!.
P
 
Mkuu Mzalendo Uchwara , japo unajitambulisha kama Mzalendo Uchwala, hoja zako sio hoja uchwara ni hoja very sensible. Baada ya hoja ya katiba mpaka kuwekwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2015-2020, JPM akasema katiba sio kipaumbele changu!, sisi watu wa kuhoji, tukahoji, Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta? kwenye ilani ya uchaguzi ya 2025, issue ya katiba ikaondolewa kabisa, mimi kupitia telepathy ndie pekee nilijua kuwa JPM alipanga kuwapatia Watanzania, katiba mpya 2020-2025, na nikawaeleza watu humu, Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya! but very unfortunately, it was too little too late, Sir God akafanya take!.

Sasa kwa vile no one knows for sure exactly why JPM, had to go, it could be ni hili la katiba, hivyo ili kumsaidia Rais Samia to be on a safe side, tukamshauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!

Kwenye mapendekezo ya mabadiliko, hakuna issue ya katiba, tumemsisitiza sana Mabadiliko ya Sheria Bila Mabadiliko ya Katiba,Sawa na Kula Bila Kunawa!. Je Watanzania Tuna Haraka Sana na Uchaguzi Hadi Tukimbilie Kula Bila Kunawa?

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…