Japo urafiki tu

Japo urafiki tu

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Mambo zenu wakubwa?swalama nadhani wote wazima?mimi ni new member sina hata mwezi nilikuwa nataka marafiki wakike na wakiume wa kuchat hapa JF,FB,Twitter,sehemu zote hzo unaweza kunitafuta kwa jina la dazipozi,ma# pia hii hapa 0654532952 msg ztajibiwa kbpu marafuku ni hayo 2!!mengine unaweza ukaniuliza
 
Nani alikudanganya marafiki wa kweli wanapatikana kwenye mitando?
 
Samahani nimekubip. Hiyo namba inaishiwa na * mwisho ndio yangu.
 
Dogo karibu, bt refar kuzisoma regulation za hapa na kuzitekeleza kwa makini, kwa mfano ruling za mbili za awali hakiki huziachi ambazo :
1. Hakikisha wakati una'post au unasoma thread uwe umevua viatu, haturuhusu humu mtu kuingia na viatu.
2.Ni marufuku kusoma/kuandika thread ukiwa chooni.
 
Back
Top Bottom