Japhet Justine, Mkurugenzi mkuu wa benki mdogo kuwahi kutokea Tanzania!

hahahahahahahah mleta mada hajasoma na nimswahili mwenzake juzi tu katoka kutuambia hawa jamaa niwanaume kweli kweli aseee hatar hii mbona vimbwanga haviishi ? ok sawa
 
Au mimi ndo sijaelewa,nilidhani benki ya wanawake
inaongozwa na wanawake! au ndo bado hatujafikia ile
50/50,najaribu kujiuliza tu.
 
Naona mnabishana in reality jamaa ni mkubwa ila kibongo bongo age hiyo kwa nafasi hiyo ni mdogo sana ...
 
Kwahiyo ulikuwa unashauri wamchukue Samata ndio awe mkurugenzi?
miaka 34 ceo mshahara milion 15... samatta miaka 20 tp mazembe mshahara milion 20.. na baadae genk mshahara kwa wiki hatari..

hasheem miaka 20 nba mshahara milion 200...

diamond miaka 28 utajiri wa bilion...

kweli shule zinachelewesha maisha.. miaka 34 eti ni mdogo wakati umri wa kustaafu huo akifika samatta
Wanaume na mipasho yao
 
Una uhakika gani ni mdogo (around 34yrs)???

Unaweza kuta ana 44 yrs we umeshadadia 34yrs.

Au ni shemeji yako mtarajiwa???
 
miaka 34 ceo mshahara milion 15... samatta miaka 20 tp mazembe mshahara milion 20.. na baadae genk mshahara kwa wiki hatari..

hasheem miaka 20 nba mshahara milion 200...

diamond miaka 28 utajiri wa bilion...

kweli shule zinachelewesha maisha.. miaka 34 eti ni mdogo wakati umri wa kustaafu huo akifika samatta
Wewr upo kwenye kundi gani mkuu,? Maana nimefurahishwa sana na jinsi unavyojua networth za watu
 
Okay..ameoa??
Afu hii Bank bado sana japo kama he's a visionary tunaweza ona kitu...
Wangapi hata wana akaunti huko???.!simjui yeyote
 
Hii nchi ina mambo ya kipuuzi...benki ya wanawake?
Kwanini?, kivipi na ili iweje?

Na wanawake wajinga wanafurahia jambo hili, is what you call equality?

Hii itazidi kutengeneza gap between men and women. Kesho kutwa itaanzishwa barabara ya wanawake from Ubungo to Argentina. Awkward...!
 
Back
Top Bottom