kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
Kwa hiyo wote tuingie uwanjani tucheze? Huyo Samatta siku akivunjika mguu itakuwa imebaki stori ila aliyeenda shule hata akatike viungo vyote bado anamata
kwa kuwa mbwana samatta anachezea moja kati timu kubwa nchini ubeligiji,package yake ya health insurance sio ya kitoto.hata avunjike miguu yote miwili, hospitali atakayotibiwa na treatment atakayopewa ni first class.wewe na degree yako utaishia kuota tu ndotoni.
huo ndio ukweli japo wengi wetu tuliobahatika kuwa na "vidigrii" na kubahatika kuajiriwa katika "vikampuni" na "vitaasisi" vya kibongo tutabisha.