Kwa kuwa 20% ya Wajapani ni wazee (65 plus) na wananchi wanagoma kuzaa, serikali inabidi itafute technology ya kuwasaidia watu wazima wanaoumwa miguu, hawawezi kutembea au kutoweza kubeba vitu vizito kutokana na umri mkubwa. Wanatumia "exsoskeleton", ili iwape support katika miguu au mikono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.