Japan yaanza kutumia treni ya kasi zaidi kupita chini ya bahari

eti nyie wanaume wa Dar, lile la mwakyembe bado lipo hapo Dar ?
 
Nchi nyingi za kiafrika viongozi sio committed ktk maendeleo they are just overwhelmed na political goals it is just being elected and re-elected. Nchi inatakiwa iendeshe like a business entity lazma tujue faida na hasara.. ukiona wamarekani wanaingia vitani ni for their nationa economic interest na wellbeing ya watu wao.

Sisi wa africa ni siasa tu mwanzo mwisho, bado tunahangaika na those three basic needs na i hope 300 years later bado tutakua tunazungumzia madawati ya wanafunzi
kwa yaliotokea zanzibar yale lazima mtu ujiulize mara mbili kwann watu wanataka kusalia madarakan kwa njia yeyote ile..kama issue ingekuwa ni kuwatumikia wanachi tu sidhan kama watu wangekua wanafny rafu ili wasalie madarakan au waingie madarakan kwa kitumia nguvu nyingi vile.......
 
Nafikiri tukipata viongozi wenye dira na maono kama Magufuri kwasasa(27th March 2016) tunaweza kusogea labda 2060 huko manake kwa sasa tunazo changamoto lukuki,Tujitahidi kufanya kazi kwa bidii na kujitahidi kulipa kodi inavyostahili
Magufuli ana dira gani?
 
Nawaonea wivu hao wajapan,uku Tanzania CCM Wanalingia ni miaka mingapi waliyo tutawala na mingapi uko mbeleni watayo tutawala...badala ya kutulingia huduma nzuri za afya,miundo mbinu bora na maisha bora!
 
Back
Top Bottom