Japan yaanza kutumia treni ya kasi zaidi kupita chini ya bahari

Erijo

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
453
379
Japan wamefungua mradi wao mpya wa treni ya kasi zaidi (Bullet train) unaopita chini ya bahari (Seikan Tunnel) na kuunganisha sehemu kaskazini ya kisiwa chake cha Hokkaido. Kwa hivi sasa kisiwa hicho kimeunganiswa na jiji la Tokyo na treni ya kasi zaidi. Mradi huo umegharibu takribani dola za kimarekani bilioni tano ($5 billion).

Kutoka Tokyo hadi Hokkaido kwa treni hii inachukua dakika 53 ikiwa inachukua dakika 90 kusafiri kutoka Tokyo hadi mji wa Shin-Hakodate ulioko Hokkaido inachukua dakika 90, ukijumla muda wa ukaguzi wa kiusalama yaweza chukua zaidi ya masaa 3. kwasasa kuna ushindani kati ya usafiri huo na ndege.

Seikan Tunnel ni njia kubwa kuliko zote za chini ya bahari inaurefu wa mile 33.4 (53.8 km).

0,,19143580_303,00.jpg

Japan Bullet Train, picha kwa hisani ya Reuters

OJ-AH785_JTRAIN_16U_20160325024215.jpg

Ramani kwa hisani ya WSJ

Tazama video hapa

Source:
Japan opens high-speed rail link to northern island of Hokkaido | News | DW.COM | 26.03.2016

Japan Opens First Bullet-Train Service to Island of Hokkaido
 
Sijui lini na sisi tutafika huko aisee, maana itakuwa mtu anaishi zake Kigoma anafanya kazi Mtwara.
 
Ni kama ukiwa unatoka Paris pale Gare du nord unakwenda zako London pale st Pancras lazima upite kwenye tunel pale chini ya North sea.Wajapani hongereni
 
Back
Top Bottom