😂😂Tukazikope Jokajeusi
Ya 2BONGO TUPO NAFASI YA NGAPI??
Hao wanaoongoza walijilinganisha vipi na bongo?? havi wanaijua bongo vizuri??Ya 2
HUU UTAFITI HAUNA MAANA SABABU JAPANI IPO tOP 11 KWA NCHI ZENYE WATU WENGI DUNIANI NA UKILINGANISHA NA UDPGP WA ENEO LAO MAANA YAKE NDIO NCHI INAONGOZA KWA KUZALIANA SANA.
Hakuna kitu kama hicho wagiriki wana 81.39 life expectacy wameachwa kidogo sana na wajapan wenye 84.10 woote wapo mule mule kwenye 80's .Kumbe Ndiyo siri mojawapo ya kuwafanya watu wa Japan kuishi maisha marefu sana duniani kote.
Umeona tofauti hapo watu wanaongonoka sanaaa pia wana life expectacy kubwa .Sizani.
Huo utafiti usome tena!
Inawezekana ni kwa sababu death rate ipo chini sana.
Life span iko juu sana!
Nimewapa masela taarifa hizi kwa sasa wapo hapa wanafanya booking ya ndege.Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% .
Kwa wastani mjapan hufanya ngono mara 45 tu kwa mwaka ikilinganishwa na Ugiriki ambako watu wake (wapenda ngono zaidi duniani) hufanya ngono mara 240 kwa mwaka.
Sababu za wajapan kutopenda ngono zinatajwa kuwa ni pamoja na:-
..ugumu wa maisha
..ubize (wajapan wanapiga kazi Sana) kutafuta hela
..mtazamo wa jamii juu ya ngono na kungonoka. Japan hakuna anayethubutu kuongelea ama kuashiria mambo ya ngono hadharani. Siyo kama hapa bongo.
View attachment 1662758
Bikira za Zenji zikoje Mkuu?Wanayo. Siyo kama zile bikra za Zenji.