January ni lango; panda mbegu yako sasa!

Natafuta body ya toyota coaster mwenye nayo tuwalisiane please
 
Mwaka 2017, mwaka ambao niliandika huu uzi... Tumrbahatika kuuona mwaka 2018 pamoja na changamoto zote za 2017...
Kwakuwa maudhui yake bado ni yaleyale nimeona ni vema kuupandisha tena huu uzi
 
 
kapande mbegu yako sasa ila kuwa makini isije kuwa pando la ubatili
 
Bado hii mada ni valid kulingana na mahitaji ya nyakati, nimeamua kuipandisha tena

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…