mills93
Member
- May 26, 2016
- 66
- 59
Duuuh.. Deni gan Tena mkuuHuyu akae kimya, maana deni lake la kule nssf bado bichi.kusamehewa Na jpm sio kwamba limeshalipwa.muda wowote tutakumbushia...
Hebu tudadafulie vizur...
Duuuh.. Deni gan Tena mkuuHuyu akae kimya, maana deni lake la kule nssf bado bichi.kusamehewa Na jpm sio kwamba limeshalipwa.muda wowote tutakumbushia...
Nawe shangaa "kilaza" wa Lumbumba mwenzio.Adam Malima alikuwa waziri wa fedha!!
Ndio siasa zilivyo makamba jr
Adam malima alikuwa waziri wa fedha siku hizi yupo mara
Siasa haina formula
Makosa kafanya hadharani afu asamehewe kimya kimya ,haipo hiyoInaonekana hakupendezwa na kutangazwa kuwa kaomba msamaha, yeye alitaka msamaha wa kimyakimya tu
Atapata kipaimara cha moto 😂 😂 😂Alipaswa kujua kuwa ule ulikuwa ni msamaha wenye masharti, tunamsubiri baba yake apate ubatizo wa moto
Mkuu hii ilete kama Thread ili watu wachangie na uwatag moderatorsHabari kwa wana jf wote natumaini mpo salama ,
Leo wana jamii forum wenzangu ningependa kuja na hoja yangu yenye kudai haki yetu kama watumiaji wa mtandao huu wa kijamii kama ambavyo watumiaji wengine wote duniani wa mitandao ya kijamii kama vile facebook ,twitter , whatsap na mingine mingi ambavyo wanaweza kuipata .
Dukuduku langu lipo hapa , mitandao mingi duniani mteja anapojiunga huwa na haki pia ya kujiondoa na kufuta akaunti yake pale anapoona inambidi na kutuma ombi la akaunti yake kuondolewa kabisa , mfano google huwa wana chaguo la mteja kufuta kabisa akaunti yake bila kusahau facebook na wengine lakini iweje kwa jamii forum mtu anapojiunga akaunti haifutwi ? Mimi naamini huku ni kutunyima haki ya msingi wateja , umoja wa ulaya una sheria inayowataka watoa huduma za mitandao kuwapa haki wateja wao kufuta wanachohitaji kukifuta "right to erasure " na hii haijalishi mtoa huduma anahudumu kutoka wapi duniani lakini kama atamhudumia mteja aishie katika umoja huo basi lazima afuate vigezo hivyo , kuna mtu najua atasema jamii forum iko tanzania a inahudumia watanzania !
Lakini ukweli ni kwamba mfano juma mwalubadu yuko uingereza na amejiunga jamiiforum naye atakuwa na haki ya kufuta atakacho katika akaunti yake na hata akaunti pindi ajiskiapo ,, kwa maelezo zaidi juu ya kanuni mpya za EU bofya hapa https://gdpr.eu/ , hivyo naomba uongozi wa jf mchukue hatua ili tupate haki hii
IWAPO MTATUNYIMA HAKI HII BASI YAWEZA IKAWA KUNA HAYA
1; Yaweza ikawa kuwa na idadi kubwa ya akaunti ambazo zingine watu walishazisusa kwa kushindwa kuzifuta kuna faida kwenu kuonekana kuna wateja wengi ambao kiuhalisia wana multiple accounts na mrundikano wa ID fake au kuudanganya uma kwamba mna wafuasi wengi na kama kuna wafadhili basi ni kuwadanganya
NAWASILISHA :
Adam Malima alikuwa waziri wa fedha!!
Usikumbushie mambo ya zamani Bhana!!! kausha.Huyu akae kimya, maana deni lake la kule nssf bado bichi.kusamehewa Na jpm sio kwamba limeshalipwa.muda wowote tutakumbushia...
Si afadhali walinzi kuliko kukuta kwenye mchanga kuna nyembe na ww ndo unatambaa kwa tumbo.Unapotambaa kwa tumbo mbele ya watu wabaya kumbuka kuweka na walinzi!!