January Makamba: People who are “real” never broadcast that they are real

January Makamba: People who are “real” never broadcast that they are real

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,731
Reaction score
21,729
Makamba Jr katweet hivyo kule tweeter.

Kuna follower wake mmoja akamuuliza "Lakini kupiga magoti wanaweza?"

Makamba Jr kamjibu "Sio magoti tu, hata kutambaa kwa tumbo kama nyoka."

Screenshot_20190915-133256.jpeg
 
DADEKI... kumbe wanatambaa na vitambi vile kama nawaona, mfano wa Chatu alielimeza BEBERU na mapembe yake. 😂

Safi sana MTUPOLI unawakumbusha MaCCM wenzio walipoikataa katiba mpya waliona wanawabania CHADEMA .. PUMBAVU!

Karma ya goli la mkono ni nyoko.
 
Back
Top Bottom