January Makamba Na Baraza Jipya: Ni Manun'guniko

January Makamba Na Baraza Jipya: Ni Manun'guniko

January naye ni miongoni mwa wanaotaka uraisi!!! amaa kweli nchi hii haikosi vituko.
 
iv na haka kajamaa ka "manyuzi" kanataka kugombea bora nkapigie kura kingkong
 
iv vitoto vya hv ndo ukvchagua itakua n mech za ugenini2 dubaiii tupa kule
 
Kama M.kwere kaweza kwa nini January asiweze bwana? Yaani kiti hicho kineshuka thamani mpaka sina hamu! Hivi mlimsikia Nchimbi naye? Mmemsikia Ngereja naye? Kiwete umetuangusha!
Sio hao tu, hata Mwigulu na Kigwangwalla nao wanadai kuwa wanafaa kuwa Rais na hivyo wamejipanga!!!
 
January makamba. Kwa uchunguzi wangu ni mtanadao mkubwa wa vijana hapa tanzania wanamtaka awe rais mana inaonekana vijana wamesahaurika sana katika nyazifa za juu sasa wana amini kuwa ataweza na wamejipanga hadi kumchukulia form habar ndo hio wao ila yeye kama yeye hajakua na ndoto hizo jaman tuwe wachunguzi wa mambo sio mnakulupuka tu na post za ajabu
 
iv vitoto vya hv ndo ukvchagua itakua n mech za ugenini2 dubaiii tupa kule

jipange na hoja na maandishi yako makamba ni kiongozi bora ndo mana kaaminiwa na jk na kupewa dhamana ya unaibu waziri sasa wewe mdau wa jf una mtizamo tofauti na jk makubwa haya
 
January naye ni miongoni mwa wanaotaka uraisi!!! amaa kweli nchi hii haikosi vituko.

January makamba. Kwa uchunguzi wangu ni mtanadao mkubwa wa vijana hapa tanzania wanamtaka awe rais mana inaonekana vijana wamesahaurika sana katika nyazifa za juu sasa wana amini kuwa ataweza na wamejipanga hadi kumchukulia form habar ndo hio wao ila yeye kama yeye hajakua na ndoto hizo jaman tuwe wachunguzi wa mambo sio mnakulupuka tu na post za ajabu
 
iv na haka kajamaa ka "manyuzi" kanataka kugombea bora nkapigie kura kingkong

sifa za urais una zijua au una lopoka tu vijana wa jf ni watu makini tue tunatafakari kabla ya post zetu urais hata wewe una uwezo wa kugombea sasa kebehi za nini kwa mtanzania mwenzio maneno machafu machufu ya nini mwacheni j makamba apige kaz kwa dhaman aliyopewa ni muda wa kazi sio urais
 
Kati ya wanasiasa waliotarajia nyadhifa kubwa katika mabadiliko ya jana kuelekea 2015, mmoja wapi ni mwanasiasa chipukizi January Makamba.

Taarifa zinaeleza kwamba Makamba Junior amepata pigo kubwa sana na harakati zake za urais 2015 kwani kuingia katika harakati zile kama naibu waziri kunakuweka kwenye disadvantage kidogo na wenzake wengi kwani ingawa katiba haisemi mgombea lazima awe na uzoefu kama waziri kamili bali awe tu na sifa za kuwa mbunge, fitina itachezwa vilivyo kumpunguza makali ya his candidacy kwa hoja za kutokuwa na uzoefu wa kitosha ngazi ya uwaziri relative to wagombea wengine.

Hii ni changamoto kubwa sana kwa mwanasiasa huyu chipukizi kwani pia yupo kwenye wizara ambayo ni ngumu kujiweka vizuri na grassroots. Whether mamlaka ya uteuzi ilifanya hili na lile la kumwacha kama naibu waziri makusudi au kwa kupitiwa, it is open to discussion.
kwa lipi hasa unique alilofanya la kutegemewa? 'imeandikwa atakayejikuza (pandisha) atashushwa'
 
Hivi huko ikulu kuna nini kila mtu anataka aende, nakumbuka baba wa taifa alisema ikulu ni mzigo kwa mtu msafi kwa hiyo hao wanaokimbilia hiyo mizigo ina maana si wasafi!

January makamba. Kwa uchunguzi wangu ni mtanadao mkubwa wa vijana hapa tanzania wanamtaka awe rais mana inaonekana vijana wamesahaurika sana katika nyazifa za juu sasa wana amini kuwa ataweza na wamejipanga hadi kumchukulia form habar ndo hio wao ila yeye kama yeye hajakua na ndoto hizo jaman tuwe wachunguzi wa mambo sio mnakulupuka tu na post za ajabu
 
Huyu Makamba anadhani urais ni blaa blaa tu. Bado anahitaji muda wa kuendelea kutumika hadi tuweze kumwamini kumkabidhi nchi yetu. Urais siyo sehemu ya kufanyia majaribio, ni kufanya kazi!!!!

Ileje-kujaribu kupambana na uwajibikaji wa magufuri ni kujisumbua bure tu,utaishiwa damu,hata kama moyo wako uliumbwa kama puto kwamba wewe huridhiki,amini tu kwamba daktari john pombe magufuri ni jembe la kazi,useme anapenda sifa,sijui anatumia vyombo vya habari,hizo ni hoja dhaifu,maana hata hao walioshindwa vyombo vya habari wanaviona na wanavitumia,ooh sijui wizara aliyopo ina pesa za hazina,hizo ni hoja uchwara,mwaka 2006,akiwa wizara ya ardhi,matunda yake japo alikaa mda mfupi yalionekana,alipopelekwa kuanzisha wizara maarufu ya kitoweo,mifugo na uvuvi,makusanyo ya wizara hii yalizidi pesa alizotengewa kwenye bajeti,ni wakati wake,sensation ya tanzania ina mifugo kiasi gani na eneo kiasi gani la malisho,vilipambanuliwa,na hata miradi mingi ya uvuvi na mifugo ilianzishwa,-anaweza kuwa na mapungufu yake kama ulivyo wewe na mapungufu yako,but kubali tu kwamba john pombe magufuri anajua kuzisiamamia kazi zake,hongera sana dr.pombe.-janaury makamba ni kijana wa kazi,anaenda vizuri,naamini akipata wizara ambayo yeye ni msimamizi mkuu atafanya vizuri zaidi,ngoja apate uzoefu kwa boss wake prof.makame mbalawa.
 
January makamba. Kwa uchunguzi wangu ni mtanadao mkubwa wa vijana hapa tanzania wanamtaka awe rais mana inaonekana vijana wamesahaurika sana katika nyazifa za juu sasa wana amini kuwa ataweza na wamejipanga hadi kumchukulia form habar ndo hio wao ila yeye kama yeye hajakua na ndoto hizo jaman tuwe wachunguzi wa mambo sio mnakulupuka tu na post za ajabu

Kwa ujana huu wa Zitto Kabwe na Mwigulu Nchemba nasema no kwa vijana wajifunze kwanza kuongoza ngazi ya familia kwanza, wazee waendelee.

Huo mtandao wa vijana ndio wale empty stomach, always not good political adviser.
 
Kwa sababu alikuwa msaidizi wa raisi hotuba ndo autake uraisi? Hiyo ni sawa na housegirl kutamani nyumba ya mama mwenyenyumba. Akoooome.
 
Kumpamba Magufuli kiasi hiki si bure! Kwanza utendaji wa magufuli unakuzwa kupita ukweli wa mambo! Nina hakika kama Magufuli angeendelea kutumikia wizara ya kitoweo angechemsha tu! Kinachomsaidia hivi sasa ni kuwa katika wizara ambayo moja ya mapato yake ni road toll! Kama angekuwa katika wizara zinazotegemea fedha za hazina asingekuwa na mbwembwe kama anazoonyesha hivi leo!

Mbona haonyeshi mbwembwe katika barabara za mkoa wa Tabora ambako wakandarasi wameweka zana zao chini hadi watakapolipwa malimbikizo ya madeni yao?!

Unataka ajenge kwa pesa yake?Kinachoangaliwa ni ufuatiliaji wa matumizi ya pesa zinazotolewa na kuchukua hatua bila kuremba ndio tunataka watu wa namna hiyo.TRA wanakusanya kupita malengo wanayojiwekea,pesa zinazokusanywa zinaenda wapi?Hapa waziri wa fedha ndiye anatakiwa kujibu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyu Makamba anadhani urais ni blaa blaa tu. Bado anahitaji muda wa kuendelea kutumika hadi tuweze kumwamini kumkabidhi nchi yetu. Urais siyo sehemu ya kufanyia majaribio, ni kufanya kazi!!!!

Na huyu akiwa rais kazi yake itakuwa kusikiliza taarab tu na kupiga umbea kama baba yake.
 
Back
Top Bottom