Kwa tanzania bado urais ni sehemu ya kufanyia majaribio.lengo la uraisi ni kumwondolea mwananchi umaskini na kumletea maisha bora,na kwa tz bado tunaishi chini ya dola moja na nusu hata baada ya kujitawala kwa miaka 50 na maraisi wanne tofauti kwa vipindi kibao.mpaka sasa bado nchi ina tatizo la umeme,maji,barabara,bado magonjwa na uwezo wa wananchi kujitibu ni shida,bado rushwa na usimamiaji wa sheria ni tabu,bado pamoja na kuwa na majishi hatujaweza kushimamia rasilimali za taifa.bado hakuna uwajibikaji.bado rais anaweza kuchagua washikaji zake kushika nyadhifa mbali mbali bila kujali uweza wao.kama urais usingekuwa wa majaribio leo hii tungekuwa na taifa lililoendelea.tumekuwa tukiongozwa na aina ya viongozi wasiojua maendeleo ni kitu gani na wamekuwa biz kusafiri ugaibuni kujifunza nini maendeleo.hopeless