January Makamba na 2020

January Makamba na 2020

January is weak and arrogant,
ameachwa kwa mbaali Sana Na Mwigulu.
Alipopata ubunge alijiweka Sana karibu Na wananchi hasa vijana,akasifiwa na kila mmoja wetu, hadi wapinzani, alipopewa unaibu waziri majigambo yakaanza, tambo zoote za kesi za Mtandao Ni yeye, bado vurugu za uchaguzi mkuu Na kuvunjia wananchi Nyumba hasa WA Dar es salaam alipopata uwaziri kamili....

Amuige Nchemba, anajifunza Na kujitekebisha upesi Sana.

Nikikumbuka namna alivotamba Na uchaguzi mkuu 2015, sina hamu nae... Pengine labda ajirudi na atambue hii Ni nchi ya wenye vyama Na wasio Na vyama.......
Unachekesha wewe..Nchemba bora nihame Nchi..nchemba ni mtata sana
 
January is weak and arrogant,
ameachwa kwa mbaali Sana Na Mwigulu.
Alipopata ubunge alijiweka Sana karibu Na wananchi hasa vijana,akasifiwa na kila mmoja wetu, hadi wapinzani, alipopewa unaibu waziri majigambo yakaanza, tambo zoote za kesi za Mtandao Ni yeye, bado vurugu za uchaguzi mkuu Na kuvunjia wananchi Nyumba hasa WA Dar es salaam alipopata uwaziri kamili....

Amuige Nchemba, anajifunza Na kujitekebisha upesi Sana.

Nikikumbuka namna alivotamba Na uchaguzi mkuu 2015, sina hamu nae... Pengine labda ajirudi na atambue hii Ni nchi ya wenye vyama Na wasio Na vyama.......

Mwigulu mimi mwenywe namkubali japokua sio mpenzi wa chama chake ila ana siasa za chuki sana Uwazi mkuu ndo unaweza kumfaa
 
Yaani Magufuli ampitishe January 2020?.... Hizi ni ndoto za Abunuasi.... January hawezi kuwa Rais wa nchi hii....
 
Ninanusa harufu ya mtu huyu kupenya mgombea uraisi 2020 kwa tiketi ya CHICHIEMU ,Aidha kutokana na mfumo wa mkuu kuendesha shughuli bila kujenga kundi lake lenye nguvu(tuliyozoea) ,Kwa mara ya kwanza nadhani Mh Mkubwa aweza kuwa mgombea wa kwanza kupata upinzani ndani ya chama kupeperusha bendera hiyo 2020.

Sababu za kuwa na maoni haya ni nadhani kuna vigogo wengi wa chama hiki nguli system mpya imewareject hasa waliokuwa na msimamo mkali juu ya neno gumu kwenye dictionery ya CHICHIEMU maarufu kama LOWASSA Mfano Sophia lion ,Kaburu wa kigomani etc

Aidha kuna vijana wengi waliokuwa na matarajio ya ukuu wa wilaya na unono kama huo hawa waweza kuwa mtaji mzuri kwa vigogo wowote watakao amua kuanzisha (kamatia fursa) mchakato wa kutwaa kiti 2020 .
Team makamba mmeanza mapema mmnooo mtamchonganisha na
 
Una mwandiko mbaya?? Vipi kwani shule bado tu hamjafungua!!
 
Duh Sofia Simba na Dr Kaburu halafu umemtaja Makamba. Hakuna connection. hao wawili kwisha habari yao labda waje kustaafia Ukawa.
Makamba hafai tutazidi kurudia staili za enzi za nyuma lakini pia naona kama unatumika kumchafua huyo kijana.
Hahaa, hivi huyu kijana machachari Dr Kigwangala yupo wapi? Mbona Siku hizi simsikii kabisa?
 
Hivi kwa jinsi jamaa anavyojijengea combination yake kuanzia wakurugenzi jeshi la wananchi polisi mgambo mahakama wakuu wa mikoa na sekta mbalimbali unafikiri kuna mtu atamkwamisha 2020 na sasa hivi ndiyo top wa kila kitu bungeni kuna mkono wake kila sehemu hebu niambie makamba anachomoka vipi alishindwa Lowassa ambaye alijiimarisha ndani na nje ya chama ije kuwa huyo dogo acha utani
 
January is weak and arrogant,
ameachwa kwa mbaali Sana Na Mwigulu.
Alipopata ubunge alijiweka Sana karibu Na wananchi hasa vijana,akasifiwa na kila mmoja wetu, hadi wapinzani, alipopewa unaibu waziri majigambo yakaanza, tambo zoote za kesi za Mtandao Ni yeye, bado vurugu za uchaguzi mkuu Na kuvunjia wananchi Nyumba hasa WA Dar es salaam alipopata uwaziri kamili....

Amuige Nchemba, anajifunza Na kujitekebisha upesi Sana.

Nikikumbuka namna alivotamba Na uchaguzi mkuu 2015, sina hamu nae... Pengine labda ajirudi na atambue hii Ni nchi ya wenye vyama Na wasio Na vyama.......
Hakuna kitu wote hao ni walewale hakuna wa kumuiga mwenzake.
 
Hamna kitu kichwani huyo,hatuwezi kuwa na prezdaa mnyoa UNGA
 
Makamba ana asili ya unafki, hatufai.....tunataka mtu kaliba ya ngosha, nyeusi inaitwa nyeusi.
Tunataka tutoke zama za kudanganywa na wanasiasa.
 
Ninanusa harufu ya mtu huyu kupenya mgombea uraisi 2020 kwa tiketi ya CHICHIEMU ,Aidha kutokana na mfumo wa mkuu kuendesha shughuli bila kujenga kundi lake lenye nguvu(tuliyozoea) ,Kwa mara ya kwanza nadhani Mh Mkubwa aweza kuwa mgombea wa kwanza kupata upinzani ndani ya chama kupeperusha bendera hiyo 2020.

Sababu za kuwa na maoni haya ni nadhani kuna vigogo wengi wa chama hiki nguli system mpya imewareject hasa waliokuwa na msimamo mkali juu ya neno gumu kwenye dictionery ya CHICHIEMU maarufu kama LOWASSA Mfano Sophia lion ,Kaburu wa kigomani etc

Aidha kuna vijana wengi waliokuwa na matarajio ya ukuu wa wilaya na unono kama huo hawa waweza kuwa mtaji mzuri kwa vigogo wowote watakao amua kuanzisha (kamatia fursa) mchakato wa kutwaa kiti 2020 .

Magu atakuwa mgombea pekee!!! Kwa sababu amenyookaa
 
January is weak and arrogant,
ameachwa kwa mbaali Sana Na Mwigulu.
Alipopata ubunge alijiweka Sana karibu Na wananchi hasa vijana,akasifiwa na kila mmoja wetu, hadi wapinzani, alipopewa unaibu waziri majigambo yakaanza, tambo zoote za kesi za Mtandao Ni yeye, bado vurugu za uchaguzi mkuu Na kuvunjia wananchi Nyumba hasa WA Dar es salaam alipopata uwaziri kamili....

Amuige Nchemba, anajifunza Na kujitekebisha upesi Sana.

Nikikumbuka namna alivotamba Na uchaguzi mkuu 2015, sina hamu nae... Pengine labda ajirudi na atambue hii Ni nchi ya wenye vyama Na wasio Na vyama.......
kula tano
 
Hawezi kusimama na JPM mwaka 2020 akikosa ataenda wapi?? Miaka 5 kupotea kuja kuibuka 2025 sio kazi ndogo!!!
 
Back
Top Bottom