January Makamba kusababisha mpasuko CCM

January Makamba kusababisha mpasuko CCM

Makundi yapo makamba na membe so far vijembe vinapita chini kwa chini na ccm wengi hawampend labda huko tanga kwao

Japo imekuwa vigumu Serikali kuhamia Dodoma licha ya CDA kutumia pesa nyingi bila Mtu kuhoji. Ni rahisi Seriikali kuhamia Dodoma kuliko January Makamba Kuwa Rais kwani hakubaliki Nchi nzima hata apige debe vipi January Kuwa Rais ni Jambo gumu sana labda jeshi lipindue Serikali kisha wamugawie Urais kienyeji.
 
Huyu jamaa wa Shy asituletee mambo ya kambi zake. Mbona juzi alikuwa akipiga debe kuwa mtu fulani ( ) anafaa kuwa rais kwani maoni yake ndiyo yanakubaliwa na katiba kuliko ya wengine?

Zamu ya Zanzibar ikishindikana mambo yataenda kasikazini Habari ndio hiyo .
 
Kama ilivyo Vigumu kwa Serikali kuhamia Dodoma ndio hivyo hivyo ilivyo vigumu kwa kwa January Makamba Kuwa Rais
 
Hapa tatizo sio la January bali tatizo ni huyu Mbayuwayu aliyeufanya urais uonekane ni kitu rahisi.
Eti mtu kama huyu naye anaota kuongoza nchi bila,kuwa na uzoefu wowote kama kiongozi hata wa wilaya,itakuwa nchi ya ajabu kumchagua kinda anayenyonya kuongoza taifa.
Naona hii ni njia ya watu kutafuta cheap popularity au kukaribisha potential candidates wawaweke kwenye kambi zao.
January anafikiri muda aliokaa Ikulu kuandikaandika vihotuba ni uuzoefu tosha kuongoza nchi hayuko serious,huyu kijana anatania.
 
Chadema ndiyo marufuku kutangaza kugombea wala kutoa mawazo tofauti na Mbowe na Slaa, utaishia kuitwa msaliti na kufukuzwa.

January Makamba, hawezi kuleta mpasuko wowote CCM anayeamini hivyo atakuwa na matatizo ya ufahamu.

Chadema jikitene kujenga chama chenu kinakufa, kuliko kuhangaika na CCM.
Ni zamu ya spika mwanamke
 
Back
Top Bottom