January Makamba azomewa jimboni kwake

January Makamba azomewa jimboni kwake

Mguse EL akukuguse upotee or sorry uropoke kama Nape; EL fisadi mwenye ujasiri alimuuliza Nape kama analakuongeza aongeze, Nape kimya
 
kama amewatelekeza wana jimbo tu hapo anataka nchi nzima
 
Kuzomewa hakutoshi...Nasema na Apigweeeee-eeee (Gwajima 2015) kwani kijana amezoea kuwafanya Wana Bumbuli mazezeta huyo.

Mara sijui kaanzisha Bumbuli Development Trust Funds,ku solicit pesa kutoka kwa donors na wawekezaji. Na vyote hivyo anaviendesha yeye mwenyewe kama January badala ya wana Bumbuli wenyewe. Kijana ana ego mbaya sana ya umimi na kuwafanya watu wengine wooote mafala, inatia matumaini kuona kuna wana Bumbuli wamechoshwa kufanywa malofa na kutumiwa kama miradi ya wajanja.

Leo ni leo Na Apigweeee huyooo!...Waswahili husema "Mjinga akierevuka basi mjanja yuko mashakani'
 
ndio akumbuke kuwa alitakiwa kuwakumbuka waliompatia kura za kuingia bungeni

weng huwa wanajisahau kwa sababu ya airtime wanazozipataga kwenye vyombo vya habari kwa sabab ya uwazir wao na kuhisi wanakubarika na mwisho wanajiaminisha jimbon watapita 2. Kumbukeni walowapa kura...hee! Mr upara unaelewa hlo?
 
by busaraza2015;
...... pamoja na mwandishi wa habari wa raisi PREMI KIBANGA, MNEC wa Wilaya Lushoto NAJIM MSENGI na Bwana Abdul Kanik,




Mkuu busaraza2015, Abdul kaniki ndio Abdulrahman kaniki NAIBU-IGP au ni mwingine?
 
Last edited by a moderator:
Bibi. FaizaFoxy saa hii ni kipindi ya kampeni na kila mtu anatamani awe mbunge

Ila January ni.mzigo usibebeka
 
Last edited by a moderator:
januari ana balaa na mei 2 yani vurugu hadi saa 2 ni zomea tu!
 
Halafu watakwambia nabii hapendwi kwao mara mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.Manafiki wakubwa.
 
laana ya usaliti wake wa mswada wa makosa ya mitandao haumwachi huyu kijana .
 
Huyo hata akipgwa mawe ni sawa, lakini me cjaelewa kitu hapo et mikutano yake anaendesha kibabe...kivp sasa?

  • Ziara ya Mh. January ilianza kwa kasoro ambazo wananchi wengi wamekuwa wanaziita usanii, wengi wanalalamikia utaratibu wa ziara zake jinsi unavyoenda, kwanza amekuwa akiitisha mikutano mapema na yeye kutokea akiwa amechelewa, halafu akifika kwenye mkutano hataki kuulizwa maswali wala kuchukua maoni ya wananchi kwa kisingizio cha muda kuisha, katika mikutano yake amekuwa akiongozana na viongozi wa chama wilaya na wale wa halmashauri ambao pia wamekuwa wakitumia ubabe kuendesha vikao na mikutano, viongozi wote wanalazimishwa kumsifia kila wanapopewa nafasi ya kuongea.








 
bora mbunge wetu SUGU hata uwanjani kwenye mpira na misiba huwa tunakuwa naye toka mwanzo..
 
Back
Top Bottom