kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,325
Mleta Mada unaonekana kabisaaa una Malengo na hii tungo ya uongo uliyoileta. Mtahangaika sana kuwachafua wenzenu lakini hamtafanikiwa waacheni siasa za kizamani kuwapaka matope wapinzani wenu. Kwa ujinga huu bora tu sheria mpya kuhusu mitandao ije tu. mikutano ya jamaa inaendelea vizuri tu na anaungwa sana mkono na watu wake. Kama una mtu wako anataka kushindana nae muambie ni vyema akajiandaa kushindana kwa hoja siyo vioja kama wanasiasa wengi walivyozoea.