idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,283
- 38,300
VyoteUnataka maelezo au unataka umeme?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VyoteUnataka maelezo au unataka umeme?
Hujaelewa nilichoandika,na siyo wewe tu bali wengi hawataelewa.Kwanza unaelewa kuwa suala la mvua kunyesha linapaswa kuwa ni mipango ya binadamu na wala siyo kudra?Pia unaelewa kuwa Taifa haliwezi kuendelea kwa kutegemea kudra?sasa ulitaka mvua zisinyeshe ? nyie ndiyo huwa mnasababisha mvua zisinyeshe kumbe tushawajuwa
Tuwe wakweli hapa. Tatizo la kukatika kwa umeme lilianza alipoingia yeye uongozini. Kuhalalisha tatizo akasema tatizo ni la mwendazake. Sasa imekuwaje achukue sifa za kuutengemeza tena?Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme.
Waziri Makamba na timu yake akiwemo ndugu Maharage Chande Mkurugenzi wa TANESCO wamefanikiwa kufanya kazi kwa vitendo na sio kwa maneno na kuwaacha wabaya wao midomo wazi. Ni matumaini yeti watanzania kufika mwakani tutakua na umeme wa uhakika na ziara kutokana na vyanzo mbalimbali vya umeme nchini vikiwemo Gesi na upepo.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Umeme umetengamaa baada ya mvua za kudra kunyesha
Alidai Mashine ziliwashwa mfululizo bila kuzimwa for routine maintenance so mitambo ikawa worn out.Tuwe wakweli hapa. Tatizo la kukatika kwa umeme lilianza alipoingia yeye uongozini. Kuhalalisha tatizo akasema tatizo ni la mwendazake. Sasa imekuwaje achukue sifa za kuutengemeza tena?
Bwala la JHPP likamilke hata kama hataki. Halafu ndio zianze hizi hadithi nyingine
Mvua zisiponyesha umeme ukakatika lawama kwa January; ila mvua zikinyesha umeme ukawaka basi tunaisifia mvua!! HahahhahahaKazi kwa vitendo baada ya mvua kunyesha?
Hii ccm imetawala karne nyingi ila mpaka sasa hawana plan B,tutategemea mvua mpaka lin?Mvua zisiponyesha umeme ukakatika lawama kwa January; ila mvua zikinyesha umeme ukawaka basi tunaisifia mvua!! Hahahhahaha
JPM aliwezaje bila marekebisho ya mitambo?Marekebisho ya mitambo je..?
Nafikiri huku kuimba sifa hewa ni upungufu wa maadili na heshima kwa waTanzania bila sababu; hivi unathubutuje kusema hivyo wakati Mbeya na Iringa kila baada ya nusu saa umeme unakatika bado unaleta kelele za sifa za ovyo kwenda kwa mtu ambaye hana uwezo wa kutatua tatizo zaidi ya siasa zenye maslahi?Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme.
Waziri Makamba na timu yake akiwemo ndugu Maharage Chande Mkurugenzi wa TANESCO wamefanikiwa kufanya kazi kwa vitendo na sio kwa maneno na kuwaacha wabaya wao midomo wazi. Ni matumaini yeti watanzania kufika mwakani tutakua na umeme wa uhakika na ziara kutokana na vyanzo mbalimbali vya umeme nchini vikiwemo Gesi na upepo.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Ni hapo ulipo wewe mkuu [mtaa, wilaya, mkoa].......hatimaye nchi imetulia...
Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme.
Waziri Makamba na timu yake akiwemo ndugu Maharage Chande Mkurugenzi wa TANESCO wamefanikiwa kufanya kazi kwa vitendo na sio kwa maneno na kuwaacha wabaya wao midomo wazi. Ni matumaini yeti watanzania kufika mwakani tutakua na umeme wa uhakika na ziara kutokana na vyanzo mbalimbali vya umeme nchini vikiwemo Gesi na upepo.
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Hakuna fairness mzee sisi tunataka umeme sio porojo. Na kazi zenye weledi na kujari maslahi mapana ya nchiAlidai Mashine ziliwashwa mfululizo bila kuzimwa for routine maintenance so mitambo ikawa worn out.
Umeme ulikatika katika sababu ya ukame na hizo scheduled maintenance.
Solution ilikia utilization ya mabwawa yaliyobakia na kuongeza vituo vya umeme wa gesi.
Sasa umeme umeanza kutengemaa taratibu bado mnakejeli? Ameomba muda subirini walau mpaka january ndio mumkosoe. Mtu hana hata siku 100 tayari kukatishana tamaa!!
We are not being fair
2025 ni zamu ya Majaliwa. Toa huyo mzigo.2
2025 ni zamu ya Samia
Kelele zeru ndiyo zimesaidia.Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme.