Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,862
- 3,190
- Thread starter
- #41
Labda ndoto zako zimezimwaKelele zeru ndiyo zimesaidia.
Hakuna bwawa lililokuwa limekauka. Mvua zilinyesha mfurulizo tena kwa kiwango cha juu hivyo kwa hicho kipindi kifupi mabwawa yasingekauka.
Kelele zetu zimezima ndoto za. January