January Makamba anakubalika sana Tabata

Naona umeandika ujumbe kwa namna fulani, ila wa kuelewa tumeelewa mzee.
Hahahaha kaka kama jina lako linasadifu karibu inbox nina vitabu vingi sana vya harakati ila jana nimemamaliza kusoma biography ya elon musk nimeamini niliyoyasikia yule ni re inarnation siyo mwenzetu namuunganisha na yule kijana wa mars kule russia
 
Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika wa upepo tukabisha tukaambiwa tupende tusipende sisi ni viroboto tu na kipara ni next president
Ila kiukweli umeme ukikatika noise pollution ya maredio inapungua sanA
Big up j makamba kazi iendelee

Kweli double kick
 
20211219_114823.jpg
 
Umeandika utumbo na bado una hang over ya mirungi ya jana
 
Niko tabata chama hapa natoa loki kwa kupiga double kick mbili zenye thamani ya 4000 pembeni yamekaa majamaa mawili yenye sura na matumbo ya kifisadi yanakunywa wine na kitimoto
Ghafla umeme umekatika wakati tunalalamika majamaa yakaanza kutuambia tumpe muda mr kipara anatuletea umeme wa uhakika wa upepo tukabisha tukaambiwa tupende tusipende sisi ni viroboto tu na kipara ni next president
Ila kiukweli umeme ukikatika noise pollution ya maredio inapungua sanA
Big up j makamba kazi iendelee
Haitakaa itokee akawa next president January makamba hata Iweje.
 
Huyu aliyeturudisha maisha ya dhiki ya enzi la Msoga anakubalika?
Labda jimboni kwake au na hao tumbo tumbo.
 
Tulia weee dogoooo sisi ndo wataalamu, j makamba nimeeleweshwa na hayo mafisadi yanakunywa wine kwamba ndiye next president mbaya zaidi majamaa yamevaa jezi za utopolo fc
Hata kama tunalalamika kukatika umeme kuliko hata viuno vya machangudoa vinavyokatika tumpongeze mr kipara maana umeme ukikatika makellele ya ma subwoofer yapungua
Kama umelipwa hela kuja kumpigia chapuo rudisha za watu,mwambie jf watu wanajitambua
 
Back
Top Bottom