January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

"Handsome" ni nani hapo?

HB hapo ni boyfriend wake Mwamvita Makamba, kumbuka hii inakwenda kwa kigogo mmoja wa Barrick Gold Mine ambaye ni mwanamme wa dadake January Makamba anayefanyakazi VODACOM. alisahau kusign out kwenye computer yake mwananchi mwenye mapenzi mema na hii nchi akaona bora atuonyeshe madudu ya hawa watoto wa viongozi wa nchi hii...
 
Let's do cost benefit analysis
Mzungu anapewa uchi uliokobolewa, Madini, access to state house, misamaa ya kodi, etc

Mwamvita anapata utamu wa mb**, vizawadi kidogo, visafari vya ulaya (alivyo mshamba wa safari za nje)

Januwari kapata vijisenti kidogo, nafasi ya kukutana na shemeji kijichekesha, ubunge, uenyekiti wa Kamati

Taifa kimekosa mabikioni ya mapato, mamilioni ya watz wamezidi kuwa fukara, ikulu imedhalilishwa, agrrrrgr

Nashindwa kuendelea tumbo kimenianza ghafla
 
Tuwekee ambayo ni original yake, we huna mamlaka ya kuamua kuwa nyaraka ni feki au original, mmezoea kuifanya hii nchi shamba la bibi sasa mnaumbuka mnasema fake.

A very intelligent and convincing response, keep it up! Nyie ndio wanamapinduzi tunaowategemea...lol
 
Tanzania eeeee nchi yangu eeee what can I say!
Na bado tutalizwa sana na kufanywa nchi ya koo fulani tuu!
 
This is utter rubbish! How come the paper is crumpled but the typeface is not distorted? Yani siamini kwanza moderator anaruhusu this forum to be used to launch such filthy personal attacks. Kweli Kama ali yodels Mkapa, Watanzania tumekuwa wavivu kufikiri

Mkuu paper is not crumpled its the background lakini as I said before mtu mwingine anaweza aka-hack account yako na kujifanya ni wewe kwa mwenendo wa kukupaka matope, anyway kufanya hii iwe credible zaidi ikipatikani some funds zozote kutoka kwa so alleged person nadhani watu wanaweza kutumia hii ku-make the so called matope stick...,

Lakini hii peke yake its not credible
 
aisee......... hebu na wewe ondoa fake ....

crappy brains indeed
"Crappy brains" ni wewe mwenye bichwa panzi linaloamini kila kitu kinacho stick in his face from Jamii Forums.

Hivi huyo dada mtu atakuwa jinga kiasi gani asimalizane na jamaa mazungumzo hatari hatari namna hiyo wakati anabanduana nae in private? Halafu aje atumie domain ya Vodacom e-mail ku communicate ma ufisadi wazi wazi hivyo, please!

Na kama Kikwete alimwambia "Mwammy" na Januari kwamba Januari anakuwa waziri wa madini, mbona hakuwa? Come on now!
 
As much as I despise huyo mdada and all what she stands for, I have no doubt in my mind whatsoever kuwa hii email ni feki.
 
Mleta hoja pia ebu jibu baadhi ya maswali.As much as i want to believe it.Still ni ngumu kumeza.Je kuna "Thank you Baby" emails mbili?Maana naona moja ni ya wednesday March 17th 2010 na nyingine ya 2011 saturday october 15th,hiyo ya 2010 ni "thank you" baby for a package.Ila sijaona maandishi ya hiyo" thank you baby" ya 2011.
Je ipo ya 2011 ama ni makosa?
 
nimejaribu kusearch ile email ya jana hapa jamvini kuhusu dada yake makamba na mzungu wake
mods kama militoa mnakosea sana,naomba jinsi ya kuipata nataka nisave kwenye document zangu!
 
Jf nayo tuseme ipo kwa maslahi ya watu flani flani eeh.,!?
 
sasa hayo ya mapenzi na uchumba hayatuhusu

Siyo swala la mapenzi na uchumba, kuna habari zaidi ya uchumba na mapenzi laghai ya huyo miss makamba, na mi nashangaa imepotea ghafla kulikoni? ama ilikua ni ya kugushusi?
 
Mod weka thread hiyo ,interest ya wengi bwana watu wawajue wanyonyaji wao..
 
mbona mmetoa ombi la kwanza alilopleta director1?naleta tena hili
na hili toeni ndio nitajua jf ni ovyo
 
sielewi kwa nini wametoa,nina nia nzuri na ile post,wakuu msifanye kazi kwa kujipendekeza
 
HII HAPA SAVE FASTER



From: mmakamba@vodacom.co.tz
Subject: THANK YOU BABY
To: ****@barrick.com

Hello handsome,

Thank you for such a wonderful time during your visit. It was indeed exciting to be under your care and arms. I felt my worth again, and can't wait to see your handsome face; really can't wait and see you. I see each passing day seems as another year, I guess I owe you a visit, Smile.. By the way your gift was awesome; I could not believe it and only said OMG when I opened the package. What a wonderful man, really? I should feel a special woman in the entire world for having you. Following our conversation, I can assure you that arrangements have been made for you and your team to meet his Excellency the President, Prime Minister and other high ranking officials. Thank you to Mr. January and hon. Rostam. These two guys are the greatest, and infarct January is the most trusted president's right hand man. I also believe that, you will be following through with the promise to wire the pledged funds Mr. January needs for his upcoming campaign to win his, and the president's support in your operations in the country. I will be managing his funds, so trut the money will be well spent. He really needs the help... this is investment, remember...lol. You must do that for me baby, remember you are investing in your future minister of MINERALS and brother in law... We will be providing the bank account in which the half of the funds ($1ml) will be deposited as well as the other half at a later date.

Love
Mwammy
 
Back
Top Bottom