Kauli ya nitoke vipi hiyo...ndo anajaribu kutikisa aone kama sakata lake limesahaulika au lah.Akiwa kwenye harambee ya kuchangia shule ya Galanos jana January Makamba amedai mtikisiko wa uchumi unaoikumba nchi ni kwa muda mfupi tu baada ya muda hali itakuwa sawa
swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
hilo tumezuia kabisaa,kontena hazipotei tena bandarini.
Kumbe limeshaisha? Kumbe Magu anarogeka?sakata lake limeshaisha sisi watu wa tanga tunajua kuroga
Duuuu ameikumbuka garanosi?Akiwa kwenye harambee ya kuchangia shule ya Galanos jana January Makamba amedai mtikisiko wa uchumi unaoikumba nchi ni kwa muda mfupi tu baada ya muda hali itakuwa sawa
swali,je ni kweli kuna mtikisiko wa uchumi?
BOT na hazina mbona hawajawahi kuliongelea hili
Rais mwenyewe sjawahi kusikia akiliongelea hili
Wewe na makamba nani anazijua vizuri siri za serikali?wacha kujishauasina hakika na hili ila ninachokiona mimi ni MZUNGUKO WA PESA UMEPUNGUA ie. Financial Circulation
Kwi! Kwii! Kwiiii! Magamba yanasutana!
Hiyo ndiyo dawa yao,maana hata jambazi akijificha porini lkn njaa ikimbana mwenyewe anajisalimishaNa bado, vikwazo vikianza kubana watasema vizuri kila kitu
Tuna adhibiwa kwa sababu tu ya sheeniiNi kweli lazima tupitie kwenye wakati mgumu sana kipindi hiki cha mwaka mzima au hata miwili! Suala la Zbar na mizigo kupungua, mzunguko wa pesa umepotea mijini nchi inakuwa kwenye mkwamo wa kudodorola kwa uchumi! Kosa letu hatukubali kuwa tuna koloni letu ambalo ndio limetufikisha hapa tulipo! Tunaogopa kivuli chetu na kubakia kukimbilia kwenye kufunga mikanda!